THIGH GAP: Uwazi katikati ya mapaja ya wanawake

Nitengue kauli kivipi?

Nikwambie tu kwamba penis ni tofauti na ulimi kusema kwamba utahisi utamu,uchachu, uchungu n.k, kaka wewe mwanamke thick wengine hawamuelewi, kama unamuelewa mwembamba wengine hawamuelewi, utamu ni hisia zako binafsi..
Vinginevyo utwaambie wee hufanyaga mapenz gizani,

Hunaga MDA wa kumchojoa na kumkagua maumbile mwenza wako.
 
Haingii akilini mwanamke akatengeneze thigh gap gym ama kwa operation wakati kuwa nayo means una rambo
Ni kama vile wanaume wafanye operation ama gym kutengeneza vibamia

Njoo na utafiti mwingine..hii logic inakataa
Unabisha kitu usichokijua
images-412.jpg
download-10.jpg
images-411.jpg
 
Vinginevyo utwaambie wee hufanyaga mapenz gizani,

Hunaga MDA wa kumchojoa na kumkagua maumbile mwenza wako.
Sitaki kuamini kama we ni mgumu kuelewa kiasi hiki!!!

Itoshe tu kwa kusema hisia zako ndio utamu wako..

Au mkuu hufahamu nini maana ya hisia?
 
Kwenye ukubwa wa maumbile nadhan kuna utofaut kati ya mwanamke na mwanamke, wife anao ila kibuyu cha asali sio kikubwa.
 
Ahsante
Sema thigh gap is a standard of beauty hasa kwa nchi za magharibi zinazothamini wembamba/english figure
Ndio mana wanapenda kuwa nayo

Haihusiani na kuwa na rambo
Kitaalamu mifupa ya nyonga inavokua mipana ndo uke nao inavokua mpana
 
Sitaki kuamini kama we ni mgumu kuelewa kiasi hiki!!!

Itoshe tu kwa kusema hisia zako ndio utamu wako..

Au mkuu hufahamu nini maana ya hisia?
Hujawai mtamani mwanamke, hisia za kusex na zikawa juu.

Afu ukawa dissappointed soon TU baada ya kusex nae once?

Unalizungumziaje hili.
 
Hujawai mtamani mwanamke, hisia za kusex na zikawa juu.

Afu ukawa dissappointed soon TU baada ya kusex nae once?

Unalizungumziaje hili.
Inategemea umetamani nini kwake na baada ya tendo au wakati wa hilo tendo vitu vipi vime ku dis appoint...
 
Duh wadada wanahangaila sababu ya wakaka.. na mchina fursa kama izi uwa hapishani nazo anakuundia tu dawa ya kupatanua.

Wengine nilisikia wanapunguza mbavu ili waonekane wanaviuno vyembamba.
 
Duh wadada wanahangaila sababu ya wakaka.. na mchina fursa kama izi uwa hapishani nazo anakuundia tu dawa ya kupatanua..

Wengine nilisikia wanapunguza mbavu ili waonekane wanaviuno vyembamba
Kabisa,
Mchina hataki kupishana na ela
 
Back
Top Bottom