elmagnifico JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 8,260 Reaction score 9,747 Feb 4, 2017 #1 Kwa wale wenye king'amuzi cha azam ebu chekini hii picha ya mwaka 2009 ni nzuri sana ni kati ya movie nazorudia ya bwana morgan freeman na antonio. Jamaa walikuwa wezi professional
Kwa wale wenye king'amuzi cha azam ebu chekini hii picha ya mwaka 2009 ni nzuri sana ni kati ya movie nazorudia ya bwana morgan freeman na antonio. Jamaa walikuwa wezi professional
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Joined Mar 25, 2016 Posts 10,517 Reaction score 13,257 Feb 4, 2017 #2 Sawa. Ndumilakuwili
John Cannor JF-Expert Member Joined Jun 6, 2016 Posts 1,463 Reaction score 1,827 Feb 4, 2017 #3 Bila kusahau muvi la washukiwa wa madawa ya kulevya..!