Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,988
- 142,388
Nawaandikia Infropreneur na Kiranga makuhani wakuu wa Atheists wa JF, salaam.
Kwenye mada hii nataka mtuthibitishie kuwa hakuna Mungu.
Kwenye kuthibitisha kwenu, msiishie tu kusema hayupo kwa kuwa hayupo, tupeni hoja zenye mantiki ni kwa nini hayupo.
Na msikwepe hoja kwa kusema hayupo kwa kuwa wanaosema yupo wanashindwa kuthibitisha kuwa yupo. Nyie ndiyo mnatakiwa mseme kwa nini hakuna Mungu.
Hoja zenu zijitegemee bila ya kuegemea kukosoa wanaosema kuwa Mungu yupo.
Ndani ya nyumba yangu chini ya uvungu kuna furushi la viazi , thibitisha kuwa halipoMfano umekuja chumbani kwangu unasema Kuna bangi, mimi nakwambia hakuna bangi, nani anatakiwa athibitishe uwepo wa bangi chumbani kwangu?
Wewe unayesema bangi ipo chumbani ndiyo utuonyeshe Iko wapi
Anayetoa dai ana mzigo wa uthibitisho. Ukiambiwa โKuna bangi chumbaniโ, anayesema ipo ndiye anatakiwa kuthibitisha; wewe kukanusha haitaji ushahidi. Hii ndiyo kanuni ya burden of proofMfano umekuja chumbani kwangu unasema Kuna bangi, mimi nakwambia hakuna bangi, nani anatakiwa athibitishe uwepo wa bangi chumbani kwangu?
Wewe unayesema bangi ipo chumbani ndiyo utuonyeshe Iko wapi
Fafanua mkuu unamaana ganiAnayetoa dai ana mzigo wa uthibitisho. Ukiambiwa โKuna bangi chumbaniโ, anayesema ipo ndiye anatakiwa kuthibitisha; wewe kukanusha haitaji ushahidi. Hii ndiyo kanuni ya burden of proof
Akili mnemba yako unaisoma lakin? Au una paste tu?Anayetoa dai ana mzigo wa uthibitisho. Ukiambiwa โKuna bangi chumbaniโ, anayesema ipo ndiye anatakiwa kuthibitisha; wewe kukanusha haitaji ushahidi. Hii ndiyo kanuni ya burden of proof
Umesoma wewe kwa kutulia ?? Mnemba wa kazi gani au unasoma kwa mnemba hujaelewa ๐ ๐ ๐Akili mnemba yako unaisoma lakin? Au una paste tu?
Ngoja afafanue mkuu ๐,Akili mnemba yako unaisoma lakin? Au una paste tu?
Naisoma ila naona kama wewe hauisomi kwa kuelewa wewe unapost tu bila kujalisha unalenga nini hasaUmesoma wewe kwa kutulia ??
Hahaha jamaa inaonekana hata kwenye hiyo akili mnemba hajisumbui kabisa kufikiri hata chembeNgoja afafanue mkuu ๐,
Negative Proofs: ๐Kukosa ushahidi wa kitu si ushahidi wa kutokuwepo kwake.
Anything asserted without evidence can be dismissed without evidence.Kusema โMungu hayupo kwa sababu hujathibitishwaโ ni kosa la mantiki.
Hii ni Divine fallacyUislamu haumwelezi Mungu kama kitu cha kimaabara kinachopimwa. Kumtaka Mungu athibitishwe kwa vifaa vya kisayansi ni kosa la kategoria. Tunathibitisha athari kwa sababu, si kiini kwa macho.
Kama kila kilichopo kitahitaji kuwa na MUANZILISHI wake. Hata muanzilishi wa kila kitu atahitaji kuwa na muanzilishi wake mwingine.Kila kilichoanza kuwepo kina sababu
Ulimwengu ulianza kuwepo
The burden of proof in religion generally rests on the person making a positive assertion (theist claiming God exists), requiring them to provide evidence to support their claim. It follows the principle onus probandi, where the party asserting a position must substantiate it, rather than the party denying it.Hivyo una sababu isiyoanza kuwepo (Muumbaji)
Kusema ulimwengu โulijitokeza tuโ bila sababu kunakiuka kanuni ile ile ya burden of proof.
Kwa hiyo, atheism si msimamo wa neutral, bali ni dai jingine la kimetafizikia linalohitaji hoja.
Uislamu hautaki โimani pofuโ, bali unatoa hoja za kiakili na kimantiki.
Sidhani kama jamaa atasoma yote haya ๐คNegative Proofs: ๐
It is generally unreasonable to demand proof of a negative, particularly if there is no evidence to support the positive claim.
Anything asserted without evidence can be dismissed without evidence.
Hii ni Divine fallacy
(Argument from incredulity)
Umeshindwa kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu, yeye kama yeye, bila kumhusisha na chochote.
Unahusisha vitu vilivyomo ulimwenguni kufosi kwamba viliumbwa na huyo Mungu.
Hii ni logical fallacy inaitwa Divine fallacy. Argument from incredulity.
Divine fallacy, also known as the argument from incredulity, is a logical fallacy asserting that because a phenomenon is amazing, complex, or difficult to understand, it must be caused by divine intervention or a supernatural force.
It assumes personal lack of understanding equals a divine explanation.
Kama kila kilichopo kitahitaji kuwa na MUANZILISHI wake. Hata muanzilishi wa kila kitu atahitaji kuwa na muanzilishi wake mwingine.
Pasiwepo kitu chochote kile kilicho exist chenyewe tu bila chanzo.
Hivyo kutakuwa na msururu mrefu usio na mwisho wa vyanzo vingi visivyokuwa na mwisho.
Kusema kwamba lazima Dunia iwe chanzo lakini Mungu hana chanzo ni kufanya logical fallacy inaitwa special pleading fallacy.
The special pleading fallacy is an informal fallacy where someone applies a double standard, invoking a universal principle while arbitrarily claiming an exception for themselves or a specific, preferred case without justification. It is a form of rationalization used to avoid admitting a claim is false or to exempt oneself from rules.
The burden of proof in religion generally rests on the person making a positive assertion (theist claiming God exists), requiring them to provide evidence to support their claim. It follows the principle onus probandi, where the party asserting a position must substantiate it, rather than the party denying it.
Source: Effectiviology The Divine Fallacy: When People Assume that God Must Be the Explanation โ Effectiviology
Sasa wewe Umeshindwa kuthibitisha dai la kwamba "Mungu yupo" halafu bado unakataa kwamba Mungu hayupo.Anayetoa dai ana mzigo wa uthibitisho. Ukiambiwa โKuna bangi chumbaniโ, anayesema ipo ndiye anatakiwa kuthibitisha; wewe kukanusha haitaji ushahidi. Hii ndiyo kanuni ya burden of proof
Atampelekea bwana AI amsaidie kusoma na kuelewa.Sidhani kama jamaa atasoma yote haya ๐ค
ile kapaste tu bila kusomaNaisoma ila naona kama wewe hauisomi kwa kuelewa wewe unapost tu bila kujalisha unalenga nini hasa
Niliona hivyo pia , ila kajamaa kana dharau sana๐ile kapaste tu bila kusoma
Ndio maana kwenye imani kuna mahubiri, anae yatoa na wasikilizaji tu basiInawezekana kwamba Mungu yupo lakini uwepo wake una maswali mengi yasiyo na majibu
1)Mungu ndie muumba wa vyote kwa mujibu wa maandiko
Swali : Ikiwa yeye ndie muumba wa Kila kitu yeye alitoka wapi
2) Mungu anaona maisha yetu yajayo
Swali: Ikiwa Mungu anaona mambo yote ya mbelen kulikuwa na haja Gani kumuumba Lucifer wakati alikuwa anajua atakuja kumuasi
3) Shetani ana nguvu na ni mungu wa dunia kwa mujibu wa maandiko
Swali:Kwanini Mungu alimtupia Lucifer duniani kwa watu wasioweza kushindana nae
Nijibu kwanza hayo Kisha tuendelee