Thibitisha kama ni kweli

Hapo namba 6 nakubali. Nilikutana na mmoja sehem ya huduma flan. Aliagiza hyo huduma mwenyewe nami nikaagiza yangu!!! Akawa anaonesha kushobokea kampan nikaamua kumjoin kwny meza yake. Baadae nikalipa na bill yake pia. Cha kushangaza naondoka akaniomba nauri!!! Nikajiuliza je nisingemlipia bill angefanyaje? Angeendaje kwao? Utaendaje sehem peke yako na huna hata sent? Sikupata jibu ila sasa ndo najua, kumbe wanapenda pesa sana!!!!!
 
No.12 nae utafkiri kama kweli vile nilimpa kitita cha hela akalala nazo wiki nzima.
 
mi mbona namfaham Angelina anayejiuza??
 
Hiz ni stori za watu wenye matatizo ya kujua walitakalo,maana kila mtu anawakumfit so mbaya kwangu special to u
 
Haa hhaaa eeeee ipi hiyo mkuu vipi upo kwa ofice maana leo nipo home tu nitakuja badae ikiwezekana

Kama kawaida yangu niko ofisini ila leo vibarua vya kupalilia havionekani kwa sana wakati masika ndio hii!
 
natarudi afetr kipindi
 

Nafahamu wenye jina hilo zaidi ya 4 na tabia ni hiyo hiyo. Wapenda good life, lakini wavivu, no money no love - uwe na hela utampata...Lakini wana sifa moja nzuri very friendly - whether real or fake.
 
mbona hakuna najina ya kwetu, inaonesha umedesa sehemu eee, lete na siza za akina nyachiro, kambale, sato, budagala, nyajige, masangu, mwashi n.k maana majina yote hayo uliyolete ni ya kudhungu mzee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…