They paid....

Adili

JF-Expert Member
Nov 3, 2007
3,138
1,117
upload_2018-7-10_19-7-46.jpeg

upload_2018-7-10_19-21-56.jpeg

Maji maji 1

upload_2018-7-10_19-22-53.jpeg

Maji maji 2

Unyama wa Mjerumani.
 
Inasikitisha sana...

Ila tuliwakaribisha wenyewe, ambavyo mpaka sasa bado tunarudia makosa hayo hayo...

Cc: mahondaw
Ajabu leo tukiwakandamiza kuna genge linageuka watetezi wao na mbaya zaid wanakuwa wanawadharau wenzao na kuwasifia hao wazungu..
Utumwa haujaisha bado sasa hivi tumekuwa watumwa kisaikorojia
 
The Europeans have caused many bloodshed on the globe! God had punished them in other way. The world wars ensured that Europeans who were murdered (in wars) were more than twice the Africans that were murdered (in colonial invasions). After world war II, many women went single because there were no men to marry them! Most had been slain on the battle field...
 
Hawa watu weusi walikuwa wapumbavu kabisa.. yaani wenzenu wanyongwe hivi tu halafu nyie mnatizama? Kweli wakoloni walitudharau sana.

Hayo lakini hayajaisha.. bado yapo.. eti watu wasiojulikana wanauwa watu halafu na sisi tupo tu tunatoa mimacho.. halafu kesho tunajiita wanaume.. mie sielewi kabisa akili za waafrika huwa zikoje
 
Aisee picha zimenijeruhi moyo hizi! Ukatili wa kiwango cha juu sana tulitendewa, sio rahisi mtu anaweza kuelewa kwa kuhadithiwa

Leo nimezidi kukubali kuwa wazungu sio rafiki zetu
 
Hawa watu weusi walikuwa wapumbavu kabisa.. yaani wenzenu wanyongwe hivi tu halafu nyie mnatizama? Kweli wakoloni walitudharau sana.

Hayo lakini hayajaisha.. bado yapo.. eti watu wasiojulikana wanauwa watu halafu na sisi tupo tu tunatoa mimacho.. halafu kesho tunajiita wanaume.. mie sielewi kabisa akili za waafrika huwa zikoje
Tumerogwa
 
jamani hawa wazungu sie hatujui tu, but mawazo na walichobeba moyoni mwao juu yetu sie hatujui na tunazidi kuwakumbatia tuu wanatamani watumeze On spot

*unadhani wanapenda kuona makaburi ya wenzao na masalia huko bagamoyo wenzao walio uliwa na waafrica hivi hivi tusubiri
 
Hawa watu weusi walikuwa wapumbavu kabisa.. yaani wenzenu wanyongwe hivi tu halafu nyie mnatizama? Kweli wakoloni walitudharau sana.

Hayo lakini hayajaisha.. bado yapo.. eti watu wasiojulikana wanauwa watu halafu na sisi tupo tu tunatoa mimacho.. halafu kesho tunajiita wanaume.. mie sielewi kabisa akili za waafrika huwa zikoje
we acha tu, tena unakuta myongaji ni mwafrica mwenzenu aliyepewa ukiranja na mzungu. lakini ndio dunia ilivyo, leo hii polisi anaweza kuwapiga risasi watu wa kijijini kwao kwa amri ya mwanasiasa kwakua analipwa na amepewa uniform na bunduki hivyo anajiona ni sehemu ya utawala
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom