These pics of Nairobi Terminus will make you think a bullet train is on the way but...

Sitaki nilete picha za Stesheni I za reli Toka tz but waishi nyumba ya vioo mawe kaka si ukae mbali nayo! Kuwa kwa mjadara Na mtu haelewi simple econ ni janga! Safari za reli za Abiria Na shughuli za kibiashara kwa reli ya kikoloni zilififia kabisa Kenya! You can't renovate a station not making money! It's not sustaining itself!!

Siyo TZ vs Kenya, bali ni kuhusu Kenya ndiyo mada husika inavyosema!
 
hehe train za iizamani mnoooo//......
na bora huo mradi ulivyoisha tu hovyo kabisa,....
tulikuwa hatulali humu mitandaoni.....
sissi huku tz tunaendelea na maflyover yetu mji mzima wa dsm
Hujaisha bado unaendelea sasa hadi naivasha ....
 
Kitu ambacho sielewi ni kwa nini tunapenda kulumbana sana kati ya wa Tanzania na Wakenya? everyday i come here its "sisi" vs "wao" always like children (bashing each other like idiots), we're arguing who's tallest midget here. Mimi binafsi i love to see how our countries are improving in infrastructure kwa sababu sote tunafaidika nazo. Huwa nasafiri sana between TZ and Kenya (Nairobi & Mombasa) na barabara mbovu ya Arusha -> Mombasa from Taveta has always given me nightmares, now it's almost all tarmac we all win. Hizo terminals look amazing and i am really looking forward to riding on those trains. Does anyone have images of the trains? i mean how they look inside? might naot be bad after all.
 
What ails the Kenyan's brain is politics. Petty, cheap and often times tribal politics.

Jay456watt is motivated by politics, and his hatred of the current administration forced him into the arms of the seasoned xenophobes on this forum or at least he hoped they would be a more receptive audience. I am not fan of the Jubilee administration, but let us be objective.

There is an ignorant class of critics who are convinced that the shape of the train determines the value of the project. They are the ones throwing around the word "bullet trains" and they are clearly incapable of telling the difference between a shunter and the DF11 variants passenger locomotives. These passenger trains are upper mid tier trains, and they are very common in China. They are perfectly capable of handling traffic on the SGR and the fact that they form the first batch of trains for this route does not mean that they will not be updated in the future. Once the line is electrified, we will see true high-speed trains plying the SGR. I have used the DF11 class, and it is a treat and a long overdue change for the Kenyan transportation sector.

DF11G_with_25T.jpg

avhMx3O.jpg

Jay456watt the Southern Bypass was not built for one car model.

As for the freight trains, I will not engage you on a technical level because it is clear you are all about pictures but here is a collection of freight trains from around the world.

USA

8137.1258905177.jpg

The China to England freight train

nintchdbpict000295238621.jpg

Japan

3774.1231582541.jpg

Good job, been trying to educate this guys on railways, but it is hard, i gave up!! They can even take a photo of a shunting engine and troll about it!! Is just lack of information!!
 
Kudos Kenyan,Your Government has invested massively on infrastructures,its a call for other nations to wake up and build their nations.The only ghost that keep haunting you is ukabila
 
Anyone who expected a bullet train is a Naïve fool. Trains are expensive. VERY EXPENSIVE.

And yet still we got very good trains, only that some want them to have smoother curves.

In the end you sound like a kid who's been bought a big, powerful land rover Defender, but insists he wants a wish or Noah because it is more aesthetically pleasing to him.

Wake up from your dreamy slumber and begin to appreciate the value of what you have.
 
Hilo sio swali la msingi kwa kweli. Swali ni kama fedha tunazo lipa zingewezesha kulipia train Bora zaidi Na kama zimetumika vizuri mpaka sasa!

Mlifaa kujishughulisha kwa kuangalia fedha zilizotumika kwa kila kichwa cha treni na kudadavua fact sheets kitaalam na sio huu ulimbukeni wa kuangalia sura ya hayo magari na kuanza kukemea bila uelewa. Hadi leo hakuna hata mmoja wenu anayejadili haya mambo kitalaam.
Hili nimeliona kwa Watanzania (hao wanaeleweka ndio zao) na Wakenya hususan wafuasi wa upinzani. Hakuna hata mmoja anayetaka kuumiza akili ahoji kitaalam, nyote mnaponda ilmradi tu.
 
unafahamu umejibu kama mfuasi wa jubilee ukitetea upande wako na sioni utofauti na mfuasi wa upinzani. maswali lazima yaulizwe kwa yeyote anazo atamu za uongozi. pesa sio zao ni za mlipa koti awe pande wa upinzani au chama kilicho mamlakani!
 
Mekatilili unaonyesha hayo madude ya mizigo unataka kusena nini, kwani hizo za uhuruto ni za mizigo au abiria, haya tuonyeshe za abiria za nchi ulizoonyesha.
 
unafahamu umejibu kama mfuasi wa jubilee ukitetea upande wako na sioni utofauti na mfuasi wa upinzani. maswali lazima yaulizwe kwa yeyote anazo atamu za uongozi. pesa sio zao ni za mlipa koti awe pande wa upinzani au chama kilicho mamlakani!

Niwe mfuasi wa Jubilee au upinzani, ninacho omba ni mhoji kitaalam, muache mihemko na ukurupukaji. Tumia muda wako kutafiti na kusoma, ongeza akili zako kwa zile za kuambiwa. Watu tubishane kwa hoja zenye mantiki. Hadi leo sijaona hata mmoja wenu anayethubutu kuzifanyisha akili zake kazi kwa kufuata data, nyote mnahoji muonekano wa hivyo vichwa.

Hela hata kama ni zako, lazima ufuatilie kitaalam, uhoji nini mantiki ya kununua vichwa vyenye muonekano wa hivyo, nini sifa za hivyo vichwa, vina ubora gani, vimejengwa vipi na vina uwezo upi. Ukinishinda kwenye hoja kama hizi, nitakuona mzalendo na mwenye uchungu na nchi na mwenye nia njema, lakini kwa kukurupupa na kuniita Jubilee, nakuona huna tofauti na umati wa watu ambao hufuata wanasiasa nyuma na kuitikia kila wanachoambiwa, bila ya wao kutumia ubongo wao.
 
17021897_1254646654570704_172173715269475925_n.jpg
16999242_1254647021237334_1675552297041970490_n.jpg

17021767_1254646554570714_1055351971582952176_n.jpg

16999094_1254646407904062_6469797934704861421_n.jpg
16998907_1254646997904003_6512515936008095212_n.jpg
16997746_1254647134570656_5996886881829849513_n.jpg

16998858_1254646107904092_3554812911353828633_n.jpg
16998958_1254646967904006_1859452678639843891_n.jpg
16939435_1254646917904011_6577121131573151089_n.jpg
16996398_1254646874570682_8788450844573633475_n.jpg
16864427_1254646834570686_8625051008822715837_n.jpg
16864749_1254646744570695_7076284611228619779_n.jpg

hiu4iIu.jpg
rWWp9jP.jpg
B5DITXC.jpg
9csQKJm.jpg

the trains though.....
(freight train)
AgV9UUb.jpg

passenger train
TX0APUt6.jpg

look at what they are using in China (the platform looks simlar to the kenyan one)
diesel-train-s2-at-beijing-north-railway-station-in-beijing-china-ecpj5n.jpg

just compare the stations and the trains!!!!! Tukubali tu tulichezewa "kamare" apa kama wakenya....I'm sure Uhuruto pocketed billions from this project.
16997879_1254647164570653_2462606866950892782_n.jpg
Not sure Uhuru Did

99.9% sure That Ruto Pocketed most

And am glad leo Subuhi nimefungua TV naona Kila mtu north rift anazusha Ruto awache Kitoa Orders kwa polisi afanye Kazi yake awachie Rais Kazi yake ....Hate that guy
 
Me too, I don't like that guy, he has a very very bad spirit.
I am trying not to hate since it's sinful but that person..aaargh!....sijui!
Anyways ,if Uhuru was not together with him, I think I would have voted Uhuru again and again, I secretly love my prezzo Uhunye,shia ni that horrible person Ruto,he has a bad spirit hovering around him.
On the other hand I want my RAO to get a chance hata kama ni 5 years.
Then natamani nione a Kalonzo president followed by a Musalia one.
Among women, I wish to see a Martha Karua president,Margaret Kenyatta,Rose Mary Odinga and Ngilu etc.
 
Back
Top Bottom