These pics of Nairobi Terminus will make you think a bullet train is on the way but...

Jay456watt

JF-Expert Member
Aug 23, 2016
10,356
7,992
17021897_1254646654570704_172173715269475925_n.jpg
16999242_1254647021237334_1675552297041970490_n.jpg

17021767_1254646554570714_1055351971582952176_n.jpg

16999094_1254646407904062_6469797934704861421_n.jpg
16998907_1254646997904003_6512515936008095212_n.jpg
16997746_1254647134570656_5996886881829849513_n.jpg

16998858_1254646107904092_3554812911353828633_n.jpg
16998958_1254646967904006_1859452678639843891_n.jpg
16939435_1254646917904011_6577121131573151089_n.jpg
16996398_1254646874570682_8788450844573633475_n.jpg
16864427_1254646834570686_8625051008822715837_n.jpg
16864749_1254646744570695_7076284611228619779_n.jpg

hiu4iIu.jpg
rWWp9jP.jpg
B5DITXC.jpg
9csQKJm.jpg

the trains though.....
(freight train)
AgV9UUb.jpg

passenger train
avhMx3O.jpg

look at what they are using in China (the platform looks simlar to the kenyan one)
diesel-train-s2-at-beijing-north-railway-station-in-beijing-china-ecpj5n.jpg

just compare the stations and the trains!!!!! Tukubali tu tulichezewa "kamare" apa kama wakenya....I'm sure Uhuruto pocketed billions from this project.
16997879_1254647164570653_2462606866950892782_n.jpg
 
Lazima aende zake!...ametutia hasara ya kuhangaika tena kutafuta treni nzuri siku za usoni.
Something we would have just done once and move on the next agenda....amekula hela sana hapa, yeye na huyo fisadi mwenzake!

Waondoke upesi!
don't spoil the thread with politics please
 
kwa hakika Kenya mko vizuri sana sana, wala hatutakuja kuwafikia hata siku moja, tunaendelea kutumbua majipuuu
17021897_1254646654570704_172173715269475925_n.jpg
16999242_1254647021237334_1675552297041970490_n.jpg

17021767_1254646554570714_1055351971582952176_n.jpg

16999094_1254646407904062_6469797934704861421_n.jpg
16998907_1254646997904003_6512515936008095212_n.jpg
16997746_1254647134570656_5996886881829849513_n.jpg

16998858_1254646107904092_3554812911353828633_n.jpg
16998958_1254646967904006_1859452678639843891_n.jpg
16939435_1254646917904011_6577121131573151089_n.jpg
16996398_1254646874570682_8788450844573633475_n.jpg
16864427_1254646834570686_8625051008822715837_n.jpg
16864749_1254646744570695_7076284611228619779_n.jpg

hiu4iIu.jpg
rWWp9jP.jpg
B5DITXC.jpg
9csQKJm.jpg

the trains though.....
(freight train)
AgV9UUb.jpg

passenger train
TX0APUt6.jpg

look at what they are using in China (the platform looks simlar to the kenyan one)
diesel-train-s2-at-beijing-north-railway-station-in-beijing-china-ecpj5n.jpg

just compare the stations and the trains!!!!! Tukubali tu tulichezewa "kamare" apa kama wakenya....I'm sure Uhuruto pocketed billions from this project.
16997879_1254647164570653_2462606866950892782_n.jpg
[/QUOTE]
 
hehe train za iizamani mnoooo//......
na bora huo mradi ulivyoisha tu hovyo kabisa,....
tulikuwa hatulali humu mitandaoni.....
sissi huku tz tunaendelea na maflyover yetu mji mzima wa dsm
 
:D:D:D:D flyover!! bure kabisa
zaidi ya hayo, kama hamkuweza kulala wabongo, hivi hamna bahati kwani pindi tu itakapo zinduliwa rasmi utaskia kelele zaidi kutoka kwa wakenya..nawaombea mpate treni afadhali kuliko hizi kwa SGR yenu itakapokamilika...flyover sio jambo la kutuambia
 
by the way, this station sijaiona ni ya wapi kweli ama ni phase 2?
lLwAdjh.jpg
tw1.jpg
 
Baada ya miaka 20 hayo yote yatabakia kuwa magofu tu, na hata hizo Treni za Mchina mnaziponda pia hazitakuwepo, we have been there man, Railway station ya Nairobi pia ni nzuri sana na ilikuwa hivyo hivyo wkt inafunguliwa leo hii ni Museum ya Mzungu kuja kuangalia colonial relics !
 
ile station ya Nairobi CBD ilijengwa miaka 100 iliyopita...huwezi uka compare miundo mbinu ya enzi hizo na za kisasa..alafu skuelewi...wataka kusema baada ya miaka 20, stesheni hiz pya zitakuwa museum?
 
Swali ni kwamba kwa nini imekufa? Ni nini kilichoiua? Na ugonjwa ulioiuwa umeshapatiwa kinga/tiba? Kuna nchi zina station za zamani zaid klk ya Nairobi lkn bado zinafanya kazi, hivyo maadamu kilichoua station ya Nairobi hakijashughulikiwa hata hii mpya pia itakufa hivyo hivyo!
 
Sitaki nilete picha za Stesheni I za reli Toka tz but waishi nyumba ya vioo mawe kaka si ukae mbali nayo! Kuwa kwa mjadara Na mtu haelewi simple econ ni janga! Safari za reli za Abiria Na shughuli za kibiashara kwa reli ya kikoloni zilififia kabisa Kenya! You can't renovate a station not making money! It's not sustaining itself!!
 
Back
Top Bottom