Anhaaa hapo nimekumbuka aksee jamaa kinaroho mbaya hichi kishenzi, kipo siriazi ila mahon mwisho alikiweza kweli. Ahsante sana mkuHuyu nigga kwenye DP alikua Prison Break..alikua ni contracted killer na mzee wa the Company kumuua Sarah Tungred,akajichanganya akaua mtoto wa Agent Mahon,Mahon alimuua vibaya sana!
Mchizi namzimika sana,alikua analamba suti kali na imposing figure yake halafu alikua serious na kazi yake vibaya sana.Sema character yake ilikua short lived kwenye series!
That nigga was ma nigga!
Anhaaa hapo nimekumbuka aksee jamaa kinaroho mbaya hichi kishenzi, kipo siriazi ila mahon mwisho alikiweza kweli. Ahsante sana mku
Umemuacha Leonard's da vinci,
Alileta ukombozi kwa njia ya damu msalabani.Aligundua nini kwenye mathematics ?
Yesu hashindwi kitu. Hata mathematics anajua...Sasa inahusiana vipi na mathematics?
Yesu anaokoaWee kumbe hujui hapa tunaongelea nini? lete hesabu alizofanya tujadili sio kusema hashindwi wakati hakufanya.Hapa tunaongelea waliofanya wakaweza
Kwa hiyo Yesu alizidiwa uwezo wa mahesabu na hao watu?Hapa hatuongelei uokoaji.SIKU tukiongelea uokoaji utamweka na ushahidi kabisa ila hapa sio mahala pake
Alileta ukombozi kwa njia ya damu msalabani.