Hawa jamaa wanaendesha wizi wa waziwazi tena kibaya zaidi wana exploit vijana wanaotafuta kazi.Yaani baada ya kuapply kazi kwao walizotangaza kwenye magazeti wanakuita kwenye interview lakini wanakutaka ulipie 20,000/-, sasa hawa si wana take advantage ya watu wanaotafuta ajira?
Mamlaka zinazohusika ziko wapi?au wanasubiri hali iwe tete kama ya DECI?