Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,042
- 10,788
Waziri Mkuu wa Uingereza, Theresa May amekutana na Malkia Elizabeth na kumuomba ruhusa ya kuunda serikali mpya baada ya uchaguzi wa wabunge
Kina mama!Waziri Mkuu wa Uingereza, Theresa May amekutana na Malkia Elizabeth na kumuomba ruhusa ya kuunda serikali mpya baada ya uchaguzi wa wabunge
Ameshinda mbona yuko fasta sana au kaiba kura
Ajiuzulu tu huyo bibie!Ndivyo inayokuwaga.
Kwa sasa kipigo alichokipata aombe aweze kukaa, kwa historia ikifikaga siku ya Jumatatu inayofata huwa wanajiondoa.
Uchaguzi umemuendea vibaya... kwa sababu alitegemea kushinda viti zaidi hata ya vilivyokuwepo kabla.
Nimekuwa mfatiliaji wa siasa ya uingereza kwa mda japo sio sana ila waziri huyu naona kama mpole sana ingawa ana personality nzuri sana ya kiuongozi ila naona anapaswa kufanya zaidi sijafatilia sana uchaguzi kwa nini kapata viti vichacheNdivyo inayokuwaga.
Kwa sasa kipigo alichokipata aombe aweze kukaa, kwa historia ikifikaga siku ya Jumatatu inayofata huwa wanajiondoa.
Uchaguzi umemuendea vibaya... kwa sababu alitegemea kushinda viti zaidi hata ya vilivyokuwepo kabla.
Alafu hiyo pua kama ya Mzee WengerAna pua ndefu huyu kibibi, usikute hata hainusi kitu.. Haaaa