There really is a thin line between love and hate...... oh yes

Kila kitu Ni kuchagua, hata kupenda ni kuchagua, japo wengi wanatumia hisia bila kushirikisha ubongo. Hivyo basi, usipende kupitiliza, usiamini kupitiliza kwa sababu binadam ni kiumbe mdhaifu. Ukipenda Sana, matokeo yake ukitendwa chuki inafuata...
Have temperance, penda kiasi...hutachukia mtu katu.
 

Very very smart advice there.

I think its mature to diss a person or be hateful towards them.
 
No I think KS is right.

How you part ways determines your relationship after that.

Seems I treaded on a very big ego. Now its payback.
Karucee, i have never seen two people who were madly inlove detach happly

One might be happy but the other will be a victim and the victim one will have to accept

Through accepting she/he might decide to maintain the friendship or hate you for life
 
Last edited by a moderator:

I deeply agree with u!
 
Last edited by a moderator:
Nadhani inatokea pale upande mmoja unapokuwa na uhalisia na upande wa pili unakua kinyume chake bila huyu wa uhalisia kujua. Inapotokea alieko kwenye uhalisia anakuja kujua upande wa pili ulivyo ndio shida inakoanzia... Kadiri mtu unavyokumbuka ulivyokua unatenda kwa haki na kwa ukweli hicho ndio ulichovuna.... hasira inayopelekea pia chuki ndio inakuja kwa kasi n.k n.k

Ila sasa kuweka kinyongo na mtu ni sawa na kunywa sumu huku unategemea mwingine afe... na kiukweli baada ya muda hio sumu inakukula wewe peke yako huku mwenzako akidunda na mtaa na hata haana habari na wewe... Si ikitokea unachukua unachojifunza apo, unajikung'uta mavumbi.. LIFE LINASOGEA.
 
Binadamu bana ....

Hebu fikiria kuwa umekutana na mtu ukiwa na miaka 28 mnaanzisha uhusiano halafu baada ya miaka 2 mnashindwa kuendelea kuwa pamoja kisha mnaachana halafu unaamua kumchukia huyo uliyekuwa ne kwenye mahusiano

Kila ukimuona ni bifu tu
Hivi unakuwa ni mzima kweli wewe?
 
Mkuu hivi vitu huna vinaendana sana na mtu anavyochukulia vitu... We hujawahi ona mtu anamwekea mwenzake kisasi kibaya kisa kamuomba amuazime hela akakosa? Sasa huyu akipenda akazinguliwa si lazima akakaodi gang ije ilipize kisasa?

Mtazamo wa mtu ni kitu kinachoamua mambo mengi ayatendayo mtu.
 
moyo wako ni tofauti na wa wema dia...we ukidhalilishwa mbele ya umati na kamera zinakumulika,ukapiga simu usiku unaambiwa uwaache walale bado utarudi? mie nimejisemea nafsi yangu asee....
tuchukue mfano wa wema
na dai mbona wanaachana kwa visasi na mwishowe wanarudiana kwa mbwembwe
je hapa inakuwaje
 
Betrayal + (matarajio +malengo yasiyofanana na mwenzio) = DISSAPOINTMENT. Hiyo ndio husababisha chuki na uchachu kwenye mapenzi.
 

Iwe iwavyo

Bado huo ni udhaifu wa kijinga sana na nikutokujua tu ndiko kunawafanya watu wajiingize kwenye mambo ya ajabu kama haya

Huyo mtu mwaka mmoja tu ulikua humjui,iweje leo udai huwezi kuishi bila yeye?
Kama sio ujinga ni nini?
 

though u didnt mention me but its like you are talking about me.
it has happened to me and i havent recovered and dont know if i ever will.
 
hizi ni sawa kabisa na mambo za michepuko na njia kuu..
 
moyo wako ni tofauti na wa wema dia...we ukidhalilishwa mbele ya umati na kamera zinakumulika,ukapiga simu usiku unaambiwa uwaache walale bado utarudi? mie nimejisemea nafsi yangu asee....

mimi pia siwezi kurudi je nataka kujua kwanini wengine hawachukiani hata wanapoachana
 
Ukidate vijana wa mujini hukosi matusi, ila watu na heshima zao huwezi sikia matusi, hata mshindwane kiasi gani.

Ila, kuishi kwingi kuona mengi.
 

Smart.

You changed your avatar eh?
 
Ukidate vijana wa mujini hukosi matusi, ila watu na heshima zao huwezi sikia matusi, hata mshindwane kiasi gani.

Ila, kuishi kwingi kuona mengi.

Ni kweli kabisa. Na ipo sana kwa overgrown babies with inferiority complex.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…