T Theopist Quintine New Member Joined Oct 16, 2012 Posts 1 Reaction score 0 Oct 17, 2012 #1 habari wakubwa,mimi ni member mpya,hivyo naomba ruhusa kujiunga,nawasilisha.
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,944 Reaction score 43,609 Oct 17, 2012 #2 Karibu sana Theopist jisikie nyumbani! Na hapa utaratibu ni kukaguliwa na mkaguaji hayupo kifupi amefumaniwa na yuko kituoni kwa sasa, basi na kuruhusu uingie moja kwa moja na nta kuelekeza watu wa kuwa nao makini.
Karibu sana Theopist jisikie nyumbani! Na hapa utaratibu ni kukaguliwa na mkaguaji hayupo kifupi amefumaniwa na yuko kituoni kwa sasa, basi na kuruhusu uingie moja kwa moja na nta kuelekeza watu wa kuwa nao makini.
Judgement JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 10,326 Reaction score 4,789 Oct 17, 2012 #3 Haya karibu! Una bahati umenikuta leo nimeamka vimetulia , vinginevyo ungekuta vimepanda nisingekuruhusu! Sema asante !
Haya karibu! Una bahati umenikuta leo nimeamka vimetulia , vinginevyo ungekuta vimepanda nisingekuruhusu! Sema asante !
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,985 Oct 17, 2012 #4 Hahaha. Karibu mwaya. Mie ndo mpole kuliko member wote, ukipotea njia uniulize ila kama ni makusudi uchune.
Hahaha. Karibu mwaya. Mie ndo mpole kuliko member wote, ukipotea njia uniulize ila kama ni makusudi uchune.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,928 Oct 17, 2012 #5 King'asti said: Hahaha. Karibu mwaya. Mie ndo mpole kuliko member wote, ukipotea njia uniulize ila kama ni makusudi uchune. Click to expand... Mletee mgeni kinywaji basi, bill kwa Ritz. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
King'asti said: Hahaha. Karibu mwaya. Mie ndo mpole kuliko member wote, ukipotea njia uniulize ila kama ni makusudi uchune. Click to expand... Mletee mgeni kinywaji basi, bill kwa Ritz.
The Son JF-Expert Member Joined Jul 30, 2012 Posts 459 Reaction score 59 Oct 18, 2012 #6 Karibu Theopist Quintine
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,951 Reaction score 13,934 Oct 18, 2012 #7 Karibu sana JF.
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,414 Reaction score 3,044 Oct 18, 2012 #8 Karibu JF.
Ritz JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 57,101 Reaction score 46,579 Oct 18, 2012 #9 Karibu sana.