The World's Most Powerful Truck

Bingwaman

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2010
Posts
548
Reaction score
288
Volvo FH16-750. Hii kitu inakamua horsepower 750. Ni lori lenye nguvu zaidi duniani. Hapa hakuna cha Kitonga, Wami wala Sekenke. Mnyama huyu ana uwezo wa kupanda milima hiyo kama yuko tambarare na huku tani 60 zikiwa mgongoni.





 
Bingwaman, Farasi 750 sio mchezo Mkuu, heshima hapa.
Alafu hiyo tractor naona ina Axel tatu hapo kwenye shingo hapa hakuna utani ukirudi nyumbani lazima watoto wajigambe baba katoka kazini.:rockon:
 
Last edited by a moderator:
Yanauzwa wapi mkuu, hebu nifanyie booking nilete bongo angalau matatu watu wawe wanashangaa
 
Volvo FH16-750. Hii kitu inakamua horsepower 750. Ni lori lenye nguvu zaidi duniani. Hapa hakuna cha Kitonga, Wami wala Sekenke. Mnyama huyu ana uwezo wa kupanda milima hiyo kama yuko tambarare na huku tani 60 zikiwa mgongoni.






Mkuu ni tani 60 au tani 160?
Tani 60 kidogo sana hata FAW 380 ya kichina inavuta bila mchezo.
 
The Terex Titan.
<fieldset class="postcontent" style="margin-top: 5px; margin-right: 0px; margin-bottom: 5px; margin-left: 0px; padding-top: 0px; padding-right: 0px; padding-bottom: 0px; padding-left: 0px; border-top-width: 0px; border-right-width: 0px; border-bottom-width: 0px; border-left-width: 0px; border-style: initial; border-color: initial; word-wrap: break-word; "><legend style="margin-top: 0px; margin-right: 0px; margin-bottom: 0px; margin-left: 0px; padding-top: 0px; padding-right: 0px; padding-bottom: 0px; padding-left: 0px; color: rgb(0, 0, 0); font-family: Tahoma, Calibri, Verdana, Geneva, sans-serif; "> Attached Images</legend>


</fieldset>
Kwa ulinganishi tu, the Worlds Largest trucks, Terex Titan
I think Liebherr makes one with a slightly higher payload, but the Terex is longer:

Titan
Height = 6.88m (22'7") With Box Raised = 17.07m (56')
Length = 20.09m (65'11") Width = 7.57m (24'10")
Weight = 260 tons Payload = 350 tons
Tires are 3.35m (11') in diameter See the Guinness Book of Records
 
Mbona sioni plate namba kwenye hili vulvo?
Au ndo fasta za photoshop...
Shida yakifika huku kwetu hayo mavulvo yakuwa yaishatumika sana! Na ndo huwa yatuletea ajali na foleni za kijinga njiani tu!
 
Kama ni tani 60 basi hili ni cha mtoto,nishashuhudia Scania 112 inanipandishia Sekenke ikiwa ina vuta kontena 4 hapo ilikuwa na inter mbili na nyuma imefunga Fiat moja na kontena zake mbili,check hizo namba haiwezi kuwa tani 60 labda uniambie 600....
 

Liebherr🙁 Bigger than the Terex Titan)
Q: Just how big is this truck?
A: Well, empty it weighs in at 224 tons (203 tonnes), it's 24 foot 3 inches (7.4 metres) tall over the canopy, 47 feet 6 inches (14.5 metres) long with a wheelbase of 21 foot 6 inches (6.6 metres). And it can carry loads of 400 tons (365 tonnes). So that's an overall weight when loaded of 624 tons (568 tonnes).
​
<fieldset class="postcontent" style="margin-top: 5px; margin-right: 0px; margin-bottom: 5px; margin-left: 0px; padding-top: 0px; padding-right: 0px; padding-bottom: 0px; padding-left: 0px; border-top-width: 0px; border-right-width: 0px; border-bottom-width: 0px; border-left-width: 0px; border-style: initial; border-color: initial; word-wrap: break-word; "><legend style="margin-top: 0px; margin-right: 0px; margin-bottom: 0px; margin-left: 0px; padding-top: 0px; padding-right: 0px; padding-bottom: 0px; padding-left: 0px; color: rgb(0, 0, 0); font-family: Tahoma, Calibri, Verdana, Geneva, sans-serif; "> Attached Images</legend>
</fieldset>
Madude haya ni kwa miradi kama ya Buzwagi tu, migodini!
 
bei gan?....nataka yangu ya kuchukulia punda mbulu
 
Ngoja Riz 1 & Co wayaone, lazima wayatupie Bongo.
 



Nitaagiza kwa ajili ya kumpata mtoto Joyce wa Machame Bar . Gari zuri la kutembeleaaaa
 
Kabla ya Volvo FH16-750 kuzinduliwa Oktoba 2011, rekodi ya lori lenye nguvu zaidi duniani ilikuwa inashikiliwa na Scania R730 yenye horsepower 730. Malori yote haya yanayotengenezwa Sweden yana ujazo wa injini sawa wa lita 16 (16,000cc) lakini Scania lina silinda nane katika mfumo wa V (V8) wakati Volvo lina silinda 6 (inline au straight 6).



 
Hizo haziwez kufanya kaz bongo. Barabara zenyewe zipo wapi? Au unataka lor lizame na mzigo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…