Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,411
- 82,338
Labda watoe list ya Monduli!
Wewe popoma ungesema tofauti na hivi ningeshangaa sana.
Labda watoe list ya Monduli!
So confused asee wanamsahau mwamba kabisa 😕😕😕
Kwa maana hiyo unataka kusema Lowassa hana hivyo vigezo?
Utakuwa na matatizo ya akili wewe.
Wrong number..jaribuni tena 2025
Vipi jirani,kovu limeshapona?Mie mpaka 2020 Insha'Allah,ni mwendo wa m4c,hakuna kurudi nyuma.
Obama ni Jaluo ya Kenya...
1. Vladimir Putin
2. Angela Merkel
3. Barack Obama
4. Pope Francis
5. Xi Jinping
6. Bill Gates
7. Janet Yellen
8. David Cameron
9. Narendra Modi
10. Larry Page
Source: Forbes
Hii ni mara ya tatu mfululizo Putin kuongoza hii list
Lowassa wapinzani hatutakusahau milele!
Wewe kama nani?Please count me in
Inamaana power mabura kazidiwa power ata cameron?