Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,713
Ridhiwan hayupo
Anajidanganya akiendelea kuiba kwa miaka mingine mitano atakuwemo.. Huyu dogo anafanya mambo ili nae aandikwe kama wale watoto wa Rais wa Gambia
Ridhiwan hayupo
Dr dre nilisoma ameuza ameuza dre beats co. kwa usd3.2bil,hio haimfanyi kuingia kwenye u bilionea
What happened to billionaires from Arusha?
Mkuu we acha tu.Mkuu nimecheka sana maana nimeingia humu nikijua lazima kuna mdau atakuwa kaulizia bilionea wa Arusha na kweli nimekukuta wewe.
Mkuu nimecheka sana maana nimeingia humu nikijua lazima kuna mdau atakuwa kaulizia bilionea wa Arusha na kweli nimekukuta wewe.
What happened to billionaires from Arusha?
What about Rothschild Family? Nilisoma mahali, they worth 50,000 Trillion Dollars.