The world needs Donald Trump

yes my point ni kwamba anaweza kuiwakilisha chama ila asiweze kupata full support kutoka kwa wakubwa wake wa chama
Anasema yeye ndio only candidate since slavery anayejifadhili mwenyew kwenye kampen zake za urais, Ana pesa za kutosha anavyodai.
 
Afrika inamuhitaji ,kutokana na tabia za viongozi wetu wa afrika anaweza akajaribu kuwatumbua , kwenye mambo kama ya kubadirisha katiba na kuongeza muda wa utawala pia kwenye issue ya kuiba fedha na kuzificha katika mabenki ya nje, misaada kutotumika ipasavyo na mengine mengi yanayofanywa na viongozi wa afrika
 
Akipewa lzm marekani itaingia kwenye vita ni imani yangu na itakua hivyo
 
watanzania wanamuombea mmarekani ili tanzania ipate faida,masikini sisi
 
Hana jipya huyo
 
Huyu jamaa ndo anaonekana kupata nafasi kubwa sana ya kushinda ndani ya chama japo kuna habari kuwa hata chama chake hawataki yeye ashinde kutokana na tabia yake ya kuzungumza ukweli na uwazi kwa kila jambo. Ila huyu bwana naamini ndie atakae kuwa rais wa Marekani.
 
Kwel kabsa..
 
Word[emoji106] [emoji106]
 
Umeelezea vyema ila umekuja kubugi baada ya kumuingiza Magufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…