pierre buyoya
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 476
- 163
Hapana mkuu ameshinda majimbo mengine mawili jana. mpaka sasa ndio front runner kwnye chma chake..Ameshapigwa chini na chama chake
Very true.. This is a gentleman that can make the world great again not only america.Trump is the wright figure to rescue Africans and to end facism/dictatorship in our poor nose
Bado nn??bado
Ah wapi jamaa anachanja mbuga vibaya na hakuna cha kumzuia ni lazima atapita tu..Ameshapigwa chini na chama chake
Kwel mkuu.. Maneno yake yana utata ila ukimsikiliza vyema unagundua ni mtu flani anaesema kwel.Ah wapi jamaa anachanja mbuga vibaya na hakuna cha kumzuia ni lazima atapita tu..
Pamoja na maneno yake mengi yenye utata lakini anaonekana kupendwa na wamarekani wengi kuliko wagombea wenzake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] With Magufuli ,thos Hiroshima things will never occur, But in our own way if trump elected as U.S president Tanzania will move steps foward.Am praying for Trump to be president so that he can nuke us we start afresh like Japan it's better that way Tanzania be like Hiroshima
Hawana uwezo wakumtema jamaa polls will decide..Mm nawashangaa sana baadhi ya watu wa chama chake wanamchukia huu ndio ulikua ndio wakati wakwenda sawa na trump na kukaa meza moja wazungumze.
Kwasababu hata wafanye nini trump lazima atakuwa rais wa marekani hata wakimtema kwenye chama chao akiwa mgombea huru bado ananafasi kubwa ya kushinda.
Huoni anapopata upinzani kutoka kwa wakubwa wa repulblican itakuwa ngumu kushinda kwenye general election hata akipita kwenye chama??Hapana mkuu ameshinda majimbo mengine mawili jana. mpaka sasa ndio front runner kwnye chma chake..
Sure hata mimi nimejaribu kutafuta kwenye debates na interviews zake nyingi sijawah kusikia, labda kama alisema akiwa nyumbani.Mbona Nyani Ngabu kila siku anayapinga haya matamshi inavosemekana hajazungumzia chochote kuhusu Africa na kama angesema basi kingekuwa ni habari kubwa sana kwenye karibu vyombo vyote ila inaishia mtandaoni
Hata Democratic upinzan n mkubwa tena zaid ya Republican, kama umeangalia recently Hillary na Slander wanagawana sana majimbo...Huoni anapopata upinzani kutoka kwa wakubwa wa repulblican itakuwa ngumu kushinda kwenye general election hata akipita kwenye chama??
Very true..Trump akiwa rais atakuwa best na Pombe..
wapenda kweli na utemi
yes my point ni kwamba anaweza kuiwakilisha chama ila asiweze kupata full support kutoka kwa wakubwa wake wa chamaHata Democratic upinzan n mkubwa tena zaid ya Republican, kama umeangalia recently Hillary na Slander wanagawana sana majimbo...