mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,095
- 39,619
usichojua ni kwamba wakati si milele bro.Siku zote fahamu hili USA au West hawajawahi kukaa na kupanga kuhamishia Pharmaceutical Industry au viwanda vyao vingine China.
Kilichoyafanya makumpini ya magharibi(kila kampuni kibinafsi) kupeleka sehemu kubwa ya viwanda vyao China ni mazingira ya kibiashara yanayowafanya kuzalisha kwa gharama ndogo na kufikia kwa urahisi soko kubwa la watu zaidi ya bilioni1 wanye kipato kizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
uchumi wa china umekua tayari,sio ule wa miaka ya 80,tayari maisha nayo yanakuwa na gharama kubwa wakati yakitakiwa kuboreka kwa kila mtu mmoja mmoja.
hao cheap and skilled labour,nao imefikia hatua wanahitaji maisha mazuri sio kulipwa pesa za vibarua,kitu kinachorudisha gaharama za uzalishaji kwa makampuni kuwa kama huko kwao US.na hapa ndipo puto linapokuja kupasukia.vip wachina wamejipanga kwa hilo!!!!
hauwezi pandisha gharama za uzalishaji ikiwemo mishahara,halafu ukaendelea kuzalisha bidhaa duni,utapata hasara,lazima uziboreshe uuze bei ghali.itafika wakati bidhaa ya china iko sawa na ya US,ila tunaangalia ubora,hapo ndio utajua mchawi hawangi mchana.
Sent using Jamii Forums mobile app