mjasiliaupeo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2013
- 2,151
- 3,066
kitu gani kinachofanyika kwenye smartphone zaidi ya assembling? Hivi haujui part za smartphone zinatengenezwa nchi na makampuni tofauti tofauti na kupelekwa china mostly for assembling? Mbona kenya tu hapo yanatengenezwa hadi magari? we jamaa unaongea kwa confidence kabisa.Haha hapo ndipo hua nashangaa watanzania, mnajihisi ka vile ni special sana kua dunia inawazunguka, kama unahisi kutrain manpower inachukua siku mbili endelea kujidanganya hujui hata unachoongelea wewe. Ushawahi kwenda kwenye manufacturing plant hata moja ukaona kazi inavyofanywa kweli au unatoa data hapa bila kua na backup?
Tanzania hiyo smart labour unayoiongelea sijui iko wapi vilaza wamejaa kila kona. Kwa Tanzania it would take at least 5years kua na manufacturing plant moja yenye vijana wachache kuweza kuproduce product chache sana. Hao unaosema wanatoka Tanzania wanaenda nje wanakua smart hadi watu wanawashangaa sijui umewasikia wapi hua mnajidanganya story za kahawa tu leta data wataje majina.