sijaelewa hapa.
Nadhani kwa vile bamia huwa ni ndefu na si fupi kama hizo! Usawa uko wapi? Au Mshana anamaanisha "vibamia" vya humu JF! Mshana tufafanulie tuelewe.
Hahahahaaa ukikohoa tu kidogo kimetemwa
Haah haaaaa! usijali boss wangu mshana jr, nitakualika mwaka mpya uje Babati kuna kiwanja kipya kinaitwa Sarafina, nakuandalia na desii mmoja mkali.....! X-mas hii nilikuwa bize na Preta na miss chagga tukinywa mbege na mbuzi kule kibosho.Halafu uchoyo wako huu Gwangambo si mzuri kabisa unaibuka baada ya kumaliza minofu yote?
Haah haaaaa! usijali boss wangu mshana jr, nitakualika mwaka mpya uje Babati kuna kiwanja kipya kinaitwa Sarafina, nakuandalia na desii mmoja mkali.....! X-mas hii nilikuwa bize na Preta na miss chagga tukinywa mbege na mbuzi kule kibosho.