The World is a flat plane and not a globe

Dah maskini 😔

Mkuu tafadhali sana unaniangusha mkuu
 
REALITY

For sure unachanganya mambo! Sielewi unazungumzia Umaskini, Elimu, Flat Earth au Religion theories. Jikite kutoa kusudio la Thread yako!
Inshort maswali wanayo uliza yana link na hivyo vitu,thats why flat earth inapingwa sio na hawa ambao hata hawaelewi whats going on ila the ellites ambao they rule and control while staying in a shadow, wewe unadhani mtu kuanzia la kwanza anajua dunia tufe sasa atakuelewa

YOU CANT TEACH AN OLD DOG NEW TRICKS UNLESS VERY BRIGHT

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fact zakizembe sana hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Satellite ni hoax umeziona wapi zaidi ya picha kama mwezi unauona unashindwaje kuziona hata kwa telescope embu acha ushabiki tumia common sense.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaijua size ya satellite?

Mkuu dah basi samahani sana uko sahihi kwa kila kitu siwezi bishana na wewe tena mkuu wangu kama ulitaka uione sattelite ikiwa inazunguka kwa macho yako mawili basi mkuu wangu uko sa hihi

Nmeogopa hata kuongea mambo ya telecommunication hapa.... Aisee

Nmehuzunika sana

Lemme just log off this account
 
REALITY

Yakupasa kufahamu mipaka ya kutoa jawabu, mfano; Unaamini Flat Earth basi moja kwa moja and directly sema there is no Gravitational Force.
 
Nyie watu mliotazama conspiracy videos YouTube mnatabu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huzuni yangu ni kuu mkuu

Sijawahi amini kuna watu brainwashed hivi

Nina huzuni isiyomithirika

Mtu anakwambia satellite ni long towers

Machozi yananilenga
Hahahaha

Ujue at first nimeona mada nikajua itakuwa moto, at last point ana-disappoint ndio sababu ya kuacha kujumuika maana nimeona topic 8 at once.

Hivi sasa nimefahamu why (Non Spherical Earth Believers) ikiwemo mimi tunaonekana wa ajabu. Hasa alipoongeza hii ya Satellite ni Minara tu.

Endapo angelipitia mada za awali angefahamu kuna watu tulikaa kikao cha masaa 72 JF! Tukijadiri hili.
 
Neil Armstrong na Buzz Aldrin hawakwenda nje ya dunia, hawakufika Mwezini.

Moon landing haikutokea, ile ni siasa ya wamarekani kuifanya dunia iamini vile

USSR Ilituma kifaa nje ya dunia ni kweli...ila binadamu hakufika mwezini

Kuna hoja za msingi sana zinapinga hilo, hata picha ya Armstrong tu haikuwa na kivuli

Bendera ya USA waliyoichomeka chini ilikuwa inapepea...wakati kwenye moon na red planet hakuna Oxygen wala moving wind

Ile ni studio ilifanya mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…