rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 6,152
- 7,901
Kama hujali kuhusu spelling, usingetumia herufi yoyote kuanzia a hadi z.
Umezitumia.
Inaonesha hata wewe unajali kuhusu spelling, halafu hata hujui kwamba unajali kuhusu spelling.
Unaonesha jinsi ulivyo mjinga.
Hujui hata unachojali na usichojali ni kipi.
Siwezi kushangaa ninapopata matatizo kujadiliana nawe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwahiyo unamaanisha mtu akifika huko anaweza kuja na ugunduzi mwingine? Maana wanasema huko kuna baridi sanaHahaha mkuu kuna eneo kubwa nje ya dunia yetu thats why imewekwa sheria ya Antarctica treaty iliyo sainiwa na nchi kumi na mbili ikiwemo south africa kupinga mtu yeyote asiende bara hilo kwakuwa wanadamu watajua dunia sio tufe bali ni tambarare
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu watu wameshika kioo cha duniaMkuu kwahiyo unamaanisha mtu akifika huko anaweza kuja na ugunduzi mwingine? Maana wanasema huko kuna baridi sana
Mmebakia matusi tu. Waulize UN why ramani yao hawajaweka round earth map bali wameweka flat earth Map?br0,,,,Umewahi kuumw Degedege?
How do those pics are altogether with our discussion ?DOME STRUCTURE REPRESENTING OUR REAL EARTH WORLD WIDE.View attachment 1339357View attachment 1339358View attachment 1339359View attachment 1339360View attachment 1339361View attachment 1339362View attachment 1339363View attachment 1339364View attachment 1339365View attachment 1339366View attachment 1339367View attachment 1339368View attachment 1339369View attachment 1339370View attachment 1339371View attachment 1339372View attachment 1339373
Sent using Jamii Forums mobile app
The world is a round flat with DOME enclosing us,that is our true nature and is represented by even the ones who brought a fake spherical earth ,washington up dome down flat circle.How do those pics are altogether with our discussion ?
Vp kuhusu 500 yetu yeny nyoka..?CURRENCIES WITH DOME IN VARIOUS PLACES WORLD WIDEView attachment 1339374View attachment 1339376View attachment 1339377View attachment 1339378View attachment 1339379View attachment 1339380View attachment 1339381View attachment 1339382View attachment 1339383View attachment 1339384View attachment 1339385View attachment 1339386View attachment 1339387View attachment 1339388View attachment 1339389View attachment 1339390View attachment 1339391View attachment 1339392View attachment 1339393
Sent using Jamii Forums mobile app
na nyumb yenu it's like sambusa on the upper part,,,,, VP utaamini kuw Dunia ni Kama KoNi za mazoezini Kwny soccer?The world is a round flat with DOME enclosing us,that is our true nature and is represented by even the ones who broght a fake spherical earth ,washington up dome down flat circle.View attachment 1339394View attachment 1339395
Sent using Jamii Forums mobile app
Vp kuhusu 500 yetu yeny nyoka..?
OK HUSU NYUMBA KUKAA KAMA PYRAMID NI KITU RAHISI,KUMBUKA JESUITS NI MAWAKALA WA SHETANI NA SHETANI NI ANAFANYA UNIVERSAL INDOCTRINATION.na nyumb yenu it's like sambusa on the upper part,,,,, VP utaamini kuw Dunia ni Kama KoNi za mazoezini Kwny soccer?
Ok nadhani tumemalizanaLIAR ,,,wa2 waki nunulia SiGaRa na hawakuwahi pona mapafu wala Kunuka kinywa
LIAR ,,,wa2 waki nunulia SiGaRa na hawakuwahi pona mapafu wala Kunuka kinywa
Lenzi ya macho au ya kifaa cha kuonea ina ukomo wa kuona. Swali lako kuhusu kuonekana kwa meli kwa namna hiyo ni mwisho wa ukomo wa macho kuona ndiyo maana unaiona meli kama inazama na haimaanishi kwamba Dunia ni tufe. Ila ukitumia kifaa chenye uwezo wa kuona kuliko uwezo wa macho yako hii point yako utaibadili.
Ingia You Tube andika Unbelievable epic zoom power P900 Nikon utapata jawabu lako! Watakuonyesha hatua kwa hatua jinsi meli unavyoiona kwa macho na ukitumia kifaa chenye uwezo wa kuona mbali kuliko uwezo wa macho yako.