Wameulizwa swali kwanini meli ikiondoka bandarini kadri inavyokwenda umbali mrefu ndani ya bahari unaiona kama inazama, ukipanda juu ya mnara mrefu unaiona meli ile baadae inavyozidi kwenda mbali unaiona inazama tena. Kama dunia ingekuwa flat hichi kisingetokea. Wanashindwa kutoa majibu wanadema dema. Ovyo kabisa
Sent using Cash Money Wings
Keep watching moviesHawa wanaosema sijui kioo wanaongelea hicho kioo wanatuletea ile habari ya movie series ya UNDER THE DOOM
Sent using Cash Money Wings
Nadhani wangeanza kwanza kwenda mwezini. Mimi najiuliza kwa nini hakuna tena mission ya lunar landing baada ya ile ya apollo? What went wrong?
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
OkAisee ungekuwa ni utalii unaongoza duniani kwenda kuona uzio wa dunia.
Sent using Cash Money Wings
.Good. Its a shame in this age and time kubishana kuhusu jambo dhahiri kabisa. Thread ifungwe tu .
Monkeys kutona na evolution ni sawa utakaataje kuitwa monkey wakati unakubaliana na spherical earth from big bang theory,ambayo imezaa planetary na evolution.We ndo umeelimika unaamini dunia ni flat?
Mkiitwa monkeys mnalalamika, 2020 tukae tunadiscuss kama dunia ni flat?
safuher,
Obviously dunia na sayari nyingine zitakuwa zinazunguka. Ishara zipo mfano, usiku na mchana. Hata majira mbali mbali ya mwaka theory ya dunia kuzunguka au kujizungusha ndiyo pekee inayoweza kuelezea matukio kama hayo.
Zaidi, kama sayari azizunguki jua, basi nadhani baadhi ya sayari ikiwemo dunia yetu hii tusingepata kuliona jua. Tungekuwa tumezibwa na sayari nyingine, na hasa kama sayari zingekuwa flat kama wanavyodhani baadhi ya wajumbe.
Wala hawana lolote wanabisha ilimradi wabishe na waonekane tofauti na wengine. Ukisema uanze kutaka kuwaelewesha unapoteza tu muda. Tulitakiwa tuwe tunabshiana kuhusu mambo ya maana na siyo yale ambayo yanajulikana tangia 5000BC.
Dunia ni duara sio mpiraSasa we ignorant fool hata kama hujaenda shule unashindwaje kujua kwamba Dunia ni duara mpaka uwasumbue watu hapa wakuelezee elementary knowledge?
Muwe mnaenda hospitali kuchunguzwa kama mna mtindio kwenye bongo zenu.
Never gonna happenMkuu naomba usindelee kusupport Ujinga wa mtoa mada na Wewe usije dharaulika! Hebu fikiria Jamaa anasema Dunia ina uzio wa Dome ya kioo kiasi kwamba roket haziwezi kupaa wima. Na bado amejaribu kuelezea operation Dominic roket ilivyo shindwa kupenya hiyo Dome ya kioo nakuanguka chini ikiwaka moto!
Swali la kujiuliza ni kwanini wote wanaosema Dunia ni flat duara Kama Sinia iliyofunikwa na Dome ya kioo wasiwathibitishie Watu kwa kuwasafirisha hata kama ni kwa Meli Magari na Helcopita wakaoneshwe uzio wa Dome ya kioo tokea chini inapo anzia kwenda juu?! Na huo ungekuwa utalii mzuri sana kwenda kucheki ukingo wa Dunia ukiwa ndani ya fence ya kioo kwa usalama bila wasi wasi.Hata kama ni nauli Watu watalipa!
Okay asante kwa verses lakini nimesoma baadhi sijaona hata moja yenye direct prove kuhusu flatness ya earth. Alafu ujue kila mtu uelewa maneno ya Bible mara nyingi anavyotaka yeye. Ndiyo maana mabishano yanayohusu maneno ya bible mara nyingi huwa hayana mwamuzi sahihi na hivyo mimi binafsi pamoja na kuwa christian huwa najitahidi kuyakwepa kila yanapotokea.
Ok karibu tenaNimeingia choo cha kiume. Naomba niondoke fasta kabla sijapoteza brain cells zangu zote.
Sahihi kabisa, tunaambiwa ya kuwa Albert Eistein na wenzake walikuwa "Die hard Copernicans" ambao hawakuamini juhudi aliyo ifanya Albert Michelson katioa jaribio lake.
Soma hapa kwa ufupi :View attachment 1338849
Mkuu REALITY, kwa picha za minara uliyota kuwa ndo minara mirefu unayoongelewa, nadiriki kusema UNATUPOTEZEA MUDA!!
hii ndo minara mirefu hii?? Hii Kama ya voda na Airtel??
ARUSHA KWETU