The World is a flat plane and not a globe

Mm nilimuomba atuelezee KUPATWA KWA JUA NA MWEZI KUNAVYOTOKEA IKIWA DUNIA NI FLAT NA HAIZUNGUKI

ARUSHA KWETU
 
The problem ujinga unakusumbua sana ,mimi naona dunia ni flat na jua ni dogo pamoja na mwezi halafu wewe unaongea dunia durua umejuaje?eti inaspin prove it?ndo maana human kind itakuja kuwa controlled na artificial intelligence huku mkicheka "hahaha this is technology"kumbe ndo akili ya mwisho kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia ni sphere umejuaje wakati kila siku marekani wanataka wapasue ceiling glass au dome ,mkiambiwa ukweli moon landing haikutokea mnalialia ka watoto we unadhani wana nia njema na sisi ,tukianza kuongelea na elimu gani jua nimepita kote huko ila kujikomboa kifikra ni jambo lingine
Hahaha watu wanao amini kuwa dunia ni flat ni waongo na vilaza.Wengi ni form 4 failures.

Kuna kipindi Shaq naye alianza kujiiingiza katika imani hii potufu ila baadae akajitoa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiv swali la lunar eclipse mmeshajibu watu wangu wa flat earth???? Maana naona kama limekaushiwa hv

Sent using Jamii Forums mobile app
Yapo mambo mengi hayajibiki kwa mtazomo wa flat earth ya kiwemo eclipse,sun rise and sunset, kuzama meli in the horizon arc movement of jet plane in the sky. Flat earthers wabishi sijawahi kuona.
 
Atleast unafahamu uwepo wa Mungu ,big up.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia sio sphere mkuu na wala hakuna curvature ,ukiwa everest unaliona hilo au mtafute rubani yeyote mwambie akuambia ukweli kabisa asikufiche,images zao zinatengenezwa na computer programs .
Wanao dai kuwa dunia ipo flat wanaelezeaje kuhusu picha za dunia zilizopigwa kutoka angani zikionyesha dunia ni kama sphere??


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukielewa mambo ya motions hata kama dunia ingekuwa inazunguka kwa speed ya light kusingekuwa na tatizo lolote
Kama unaamini dunia inazunguka basi wewe utakuwa ni juha.

Tena wazungu wanakwambia inazunguka 10,000km/h.

Ni mwehu tu ndo wakuamini haya mambo kama aliyeamini binadamu wa kwanza kaishi miaka milion 3.


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama dunia ni flat basi nategemea itakuwa na edges ambazo mtu akifika hapo basi atadondokea kwenye free space.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UKWELI NI KUWA MNAKATAA UHALISIA WENU MNAKIMBILIA VIRTUAL ,NAOMBENI MTULIZE VICHWA NITAWEKA DOLLAR YA 50 AMBAYO INA DOME YANI KIOO CHA DUNIA ,PILI ANGALIA WASHINGTON DC CAPITOL YA MAREKANI JUU YAKE INA DOME SAWA,TATU ANGALIA NDANI YA WHITE HOUSE CARPET ZAO NI ROUND FLAT EARTH ,NI FLAT CIRCLES,HALAFU MSIKILIZE HILLARY KWA MAKINI SANA ,NDO UTA ELEWA KUWA WANAJUA DUNIA IPO VIPI ILA WANA AGENDA YAO TAKE MY WORD NA MWENYE MACHO NA AONE.

MAREKANI HAO HAO
-WAMEFANYA HOAX MOON LANDING
-OPERATION HIGHJUMP
-OPERATION FISH BOWL
-OPERATION DOMINIC
-OPERATION BLUE BOOK
-NASA
-MARS
-ANTARCTIC TREATY
-CURRENCY
-ALBERT EISTEN KUMPA UHAMISHO TOKA GERMANY NA KUPEWA FORMULAR YA ATOMIC
-HAWAKUPIGANA SECOND WORLDWAR
-WALIIZIMA SECOND WORLD WAR
-WANA AREA 51 YAKUCHUNGUZA UFOS
-FIRST AND STRONGEST MILITARY
-HOLLYWOOD
-WANA MILITARY BASE WORLDWIDE

akili kwenye kichwa



Sent using Jamii Forums mobile app
 
WHEN THE MOON AND SUN INTERSECTS AT DIFFERENT ANGLES View attachment 1337911View attachment 1337914

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yangu according to ww ni kwamba dunia yako ya flat ni kubwa kuliko jua Ndó maana mwanga haufik kote sasa hicho cha kwanza sijui ni nini maana naona vimpira vinakimbizana tu.

Pili lunar eclipse ninavyojua mm ni dunia inakuwa katikati ya mwez na jua. Sasa hii inatokeaje?? kumbuka dunia yako ni flat.
Ningependa majibu sio picha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wameshakuja na majibu yao kichwani huwezi kumuambia kitu chochote maana maisha yake yote hajazoea kujiuliza au kuwa na mtazamo tofauti juu ya kitu fulani usipoteze muda wako sana nimesoma uzi wote na kila post kuna maswali ya kipuuzi na faida pia lakini kuna kitu ni nimegain maana mm hata kitu kama najua huwa nina attitude ya kuwa empty mind iliniweze kujifunza na vingine pia nakupitia maelezo yako na umenifanya na mm nifuatiliea hii flat earth nikimaliza kufuatilia ndio nitajua nikaewapi nipo 50-50 mpaka sasa kuwa na mtazamo tofauti sio dhambi safuher Zurri REALITY big up guy's mliopambania flat earth.
 
Don't waste my time man, you are stupid and poor, seriously I don't wanna waste time arguing over this nonsense.
Find someone else who agrees with your nonsense.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…