The World is a flat plane and not a globe

Kweli
Dini na sayansi wote Ni waongo.
 
Hizi jazba za kizembe mkuu wanasayansi waongo iko too general hii kauli kwanza. Hapo hapo unatumia simu,pengine kondomu pia. Reality kasoma sayansi mpaka chuo lakini hajaweza kuinvent kitu au kufanya jaribio LA kisayansi anasoma conspiracy, hadi kuna time alileta clip ya YouTube kuwa nukes are fake teh teh. Ukija upande was imani huko kuwa mpole tu ishi kama ulivyopokea na usivunje sheria za nchi unayokaa kama ngumu hama. Usije force kuwa mkristo Saudia utauwawa
 
Dunia ni duara nipo hapa baharini naangalia ni jinsi gani Dunia ni duara, sphere, tufe
 
Mudi ni noma!! Mmekuwa brainwashed kabisa!!
 
You are very stupid indeed.

Wenzako wanamwaga hoja wewe umebaki kumwaga madesa uliyokariri secondary school.
 
Biblia nayo inasema dunia duara Mkuu
Isaya 40:22
[22]Yeye ndiye anayeketi juu ya duara ya dunia, na hao wanaokaa ndani yake huwa kama panzi; yeye ndiye azitandazaye mbingu kama pazia na kuzikunjua kama hema ya kukaliwa
Ni duara kwel bt Si kama chungwa, ni kama plate ya duara.

Siku hizi za mwisho, yanafunuliwa mengi yaliyofichwa.
 
Ni duara kwel bt Si kama chungwa, ni kama plate ya duara.

Siku hizi za mwisho, yanafunuliwa mengi yaliyofichwa.
lengo langu ni kusema kuwa wakati wanabishana kuhusu dunia ni duara au ni flat... watu kwenye biblia walishasema hayo kama dunia ni duara


issue ya globe na sio real circle imekuja now days baada ya magunduzi ya sayansi na teknolojia ndo watu wamekuja na hiyo position
 
Naomba ufafanuzi kidogo.

Naomba ufafanuzi kidogo.
Shetani ni Baba wa Uongo, anafanya hayo Kwa manufaa yake.

Wanasayansi wamekiri, Ili kuzifikia baadhi ya sayari vyombo wanavyotumia itabidi vitumie mamilioni ya miaka kuvifikia Kwa kutumia njia za kibinadamu.

Bt Kwa kuingia Ulimwengu wa ROHO mambo ni Rahisi sana,

Mf, Mtu ANAONA ajali hii hapa, anatamka Yesuuuuu!!! Malaika anatoka Mbinguni anasafiri Kwa sekunde na kumuepusha na Mauti,

Au mchawi anatumia fagio, anasafiri Kutoka s.wanga Hadi USA na kurudi Kwa dk 10, jambo ambalo hata jet haiwezi.

TWENDE KWENYE FACTS.

1. Dunia haizunguki, Bali Imesimama pale pale, Bali Mwezi, Jua ndo vinazunguka.

2. Dunia ni duara iliyo mfano wa pizza au sahani.

3. Dunia ingekuwa Duara, wavuvi Kutoka china wangeweza tumia ndege au wakapiga Kasia Kutoka pwani ya china Hadi Denmark fasta,

Cheki Hilo tufe la uongo la Duara. Bt wanalazimika kuzunguka kupitia Nchi mbalimbali Hadi kuja kufika hapo sababu ni flat Si duara.

4. NYOTA Haina pembe 5, ni duara pia, hata ukiwasha torch, mtu Alie mbali ataona ni pembe 5 wakat Si kwel.

5. Bahari vile vile Si duara kama chungwa, ni flat, kuonekana hivyo ni sababu ya upeo wa macho kuwa mdogo ndomana panaonekana hivyo.

6. Mwezi, JUA na objects zilizo juu ya mawingu tuyaonayo ni duara kama mpira na huzunguka. Bt hapa tulipokanyaga ni flat .


REVEALED: MWANZO 1:4-12,
Bahari juu ya anga mwanzo 1:6,7.

LEVELS HIZO NI KAMA IFUATAVYO:

1. MBINGU.HEAVEN.

2.UKUTA au MWAMBA.

3.BAHARI au MAJI.

4.ULIMWENGU wa GIZA.

5. NYOTA,JUA.

6. MWEZI, SAYARI na MAWINGU.

7.DUNIA Nchi kavu na BAHARI na maji.

8.UKUTA/ MWAMBA.

9. MVUKE au MOSHI.

10. KUZIMU KAVU.

11. KUZIMU ya MOTO.

hizo layers zimekuwa grouped na kupewa tafsiri ya MBINGU 3. Sawasawa na 2 korithians 12:2.

MBINGU ya KWANZA.

Ni hiyo ktk layer ya 11 Hadi no. 8 Palipo na ukuta ambapo juu yanakaa maji ya bahari na Nchi kavu.

MBINGU ya PILI .

ni hapa tulipo, no.7 Hadi 2.

MBINGU YA 3.
Ni hiyo ya juu kuliko zote ambayo ni layer no.1.

Ukitizama Kwa makini, Kuna MWAMBA mgumu au UKUTA unaotenganisha mbingu ya kwanza, ya pili na ya Tatu.

Note:
*Hadi sasa hakuna mwanasayansi aliyevuka universe yaani hawajawahi vuka layer no 6. Jua na NYOTA vilipo hawawezi fika.

*Wa Ulimwengu wa Giza na wachawi hawatoboi layer ya no 2 . Palipo na ukuta au MWAMBA ambapo chini Kuna MWAMBA uliyotunza Bahari juu.

*Utaona baada ya Jua, NYOTA, na SAYARI ktk universe Kuna GIZA kabisa na ULimwengu wa Giza.

*Juu ya Giza Kuna MAJI au BAHARI.

*Na juu ya maji Kuna UKUTA au MWAMBA unaozuia maji yasiingie huko juu.

*Umbali uliopo kati ya jua na Dunia ni sawa na umbali uliopo kati ya jua na zilipo NYOTA.

*NYOTA uzionazo juu Kwa macho ya kimwili ndio hizo hizo zenye mahusiano na watu, hapo angani Pana Kila NYOTA ya Kila mwanadamu anayeishi. Kibinadamu hakuna anayeweza zifikia ni mbali mno.

*NYOTA kuzifikia ni Hadi uingie Ulimwengu wa Roho, waganga wanazifikia wakisaidiwa na mapepo, pia WATAKATIFU wanazifikia kupitia ROHO Mtakatifu.

*Pembe 5 za NYOTA ni mafundisho ya freemason na UCHAWI, bt ki MUNGU hatuiti NYOTA, inajulikana kama KIBALI Kutoka Kwa Mungu.


KWANINI MAOMBI huchelewa sometimes:

Sababu ni kuwa, mwanadamu Yuko chini sana, maombi yanatakiwa yavuke mawingu, yavuke jua, yavuke Ulimwengu wa Giza.

Wapo Malaika wa Giza wazuiao, maombi yapenye bahari ya juu, yatoboe ukuta au MWAMBA Ili yafike MBINGUNI, ni mbali sana.

Ndomana maombi yatakiwa yabadilike yawe MOTO kutoboa vizuizi vyote hivyo, aombaye na aombe muda mrefu afunge na kukesha Ili maombi yafike, ni vita kubwa sana hiyo. Amen
 
Ahsante sana.

AMEN
 
Is it a like a disc? Tell us the diameter from edge to edge and its height
Is it like a book? Give us the dimensions
 
Is it a like a disc? Tell us the diameter from edge to edge and its height
Is it like a book? Give us the dimensions
No man can measure it.

The earth is rounded flat, it haves the FOUNDATION.

God does what no man can do.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…