The World is a flat plane and not a globe


Ebu tuambie kwanini waliamua kutudanganya
 
Tupe sababu mkuu
 
Haya yanaendelea wakati wengine wakijiandaa na kufungua makampuni ya space tourism.
 
Hahah kazi ipo ila nadhani antactica ingeachiliwa tuu kwa nchi zote ku-invest
 
Nani apost muonekano OG wa dunia ama Ramani OG za dunia? Nanii

Labda hao CIA, Mossad, KGB, MSS, SIS wanaweza kutuvujishia OG appearance ya dunia hii kutoka ktk data za nchi zao na kutoka ktk satellite zao wanazoendesha.

Tofaut na hapo hakuna atakayekwambia muonekano halisi wa dunia.

Usijiloge kumuamini Muafrika anaeishi afrika aliyekuwa brainwashed by Colonial education et aje akudadavulie kuhusu ili jambo maana nae hana uwakika zaid ya kukutishia tu.

Kama walivyotudanganya kuhusu Ukubwa wa dunia &mabara ndivyo hivyo walivyodanganya kuhusu Solar system na muonekano halisi wa dunia.

Unakuta mtu unaamini dini at the same time unaamini na sayansi kuwa dunia inalizunguka jua ktk mhimili wake lkn dini yako ktk yako wanakwambia [emoji116]

Yoshua 10:13 BHN - Bible.com
Jua likasimama kimya na mwezi ukasimama mpaka taifa la Israeli lilipolipiza kisasi maadui wake. Kama alivyoandika katika kitabu cha Yashari, jua

Sas hapo chagua mwenyewe utamuamini nani, huyo Mungu wa dini na kitabu chake, ama hiyo Sayansi fiction ya kukuambia dunia inazunguka wakat hata kwa macho yetu tunaproof what's the wrong.


Chagua wew mwenyewe, na ktk chaguz zako usiwaforce na wengine wakuamin et sabbu ya facts zako ulizotowa, kumbuka kuwa hata hao warushao vyombo angani hawatoi picha OG bila kuzipitisha jikoni zikaongezewe mahanjumati ya kunogesha radha ya uongo.

Dini & Sayanai wote waongo huu ndio Upande wangu Daima na Milele

 
Shidah hii
 
Hiz ni nadharia za kusadikika lakn uhalisia kamili hakuna
 
Hiz ni nadharia za kusadikika lakn uhalisia kamili hakuna
Kaka unaishi kwenye sayari gani??? Maelfu ya watu wamona uhalisia wake kwa macho (wanaanga pale juu, marubani wa ndege za mbali).
Wewe unatuma mawazo yako kwa msaada wa intaneti inayopatikana kwa sababu satelaiti zinazunguka dunia.
Mimi naona Kituo cha Anga cha Kimataifa ISS kinachopita angani kwa kasi inayolingana na maelezo yote. (zamani haikuwepo).

Unataka uthibitisho gani tena? Au unapenda kubishi tu? Basi endelea, furahia!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…