The World is a flat plane and not a globe

Mkuu unajua maana ya gravity, kama ni Ndio nadhani unajua ya kuwa ni Attraction Force na si Repulsive Force right?

Sasa Attraction Force izuie vipi kitu kinachokuja towards Earth?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unaamini dunia inazunguka basi wewe utakuwa ni juha.

Tena wazungu wanakwambia inazunguka 10,000km/h.

Ni mwehu tu ndo wakuamini haya mambo kama aliyeamini binadamu wa kwanza kaishi miaka milion 3.


Sent using Jamii Forums mobile app
N kwl dunia inazunguka na kwa speed kbwa sema kwa kuwa diameter ya dunia in kubwa mno na sisi tupo kwny dunia na dhairi kuwa huwez inotice kama inazunguka bt sincerely it's in motion

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanaenda ila cyo kihorera ndio maana ya hyo treaty na si kwamba watu wamezuiwa mfano researchers na scientific purposes uwanja n wao kwenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ety lbda wagundue nn kwny maeleza anasema dunia n flat ambayo haina mwsho really kuna ki2 ambacho hakina mwsho kwl[emoji119][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu Antarctica wanaenda tuu mbona, nnaye mtu nnayemfahamu kabisa ameenda sasa unavyosema wanakatazwa sidhani kama ni kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
N kwl dunia inazunguka na kwa speed kbwa sema kwa kuwa diameter ya dunia in kubwa mno na sisi tupo kwny dunia na dhairi kuwa huwez inotice kama inazunguka bt sincerely it's in motion

Sent using Jamii Forums mobile app

Duuh, hebu rudia tena kusoma ulichoandika mkuu....
Hiyo speed ya aina gani hadi tushindwe kuhisi kama tunazunguka!!?
Halafu, na hawa ndege wanaoruka ruka angani upande wa dunia ikiwafikia wale waangaliao juu chini wale ndege wanapaa juu chini ama?
 
[emoji23] [emoji23] yaani unaamini kwenye matibabu na mengine halafu huamini katika Universe. Yaani waamue huku kudanganya na huku waseme ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sio suala la kiimani ila ni kwamba sayansi ya matibabu uamini au usiamini lakini kiuhalisia imenyooka sana na haina makandokando, huu upande wa anga mamb na ulimwengu vitu vingi ni theory (havijathibitishwa kwa asilimia mia moja) na ndio sababu ya mimi kusema kuwa hizo ni kanjanja tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…