The World In Cartoons/Comics

The World In Cartoons/Comics

sheep.jpg

Kondoo huyu bonge anawakilisha idadi kubwa ya watu.
Watu hupelekeshwa kama kondoo kwa sababu kondoo hawezi kupaza sauti wala hana makeke na hutangatanga huku na kule kutokana na kutokuwa na mchungaji mwema. Sio watu wote ni makondoo, lakini idadi kubwa ya watu ulimwenguni hawawezi kufikiri kwa uhuru wakati wanapotumiwa kutokana na ushawishi na nguvu za mamlaka husika.

Afisa aliyepanda huyu kondoo, anawakilisha mamlaka inayodhibiti kondoo wote.

Kitanzi kunako shingo ya kondoo ni mfano wa jinsi mamlaka inavyotumia nguvu na kuweka watu katika kibano wakati wote.

Mchoraji wa kibanzo hiki anashutumu umma kwa kuwa kama makondoo...
 
adamu na Hawa.jpg

Kasoro kuu ya binadamu ilianzia hapa kutokana na jaribu la Shaitwan lililomlenga Hawa na hatimaye Hawa naye bila ajizi akamsukumia zigo mumewe (Adamu).
Katika mchoro huu, tunaona Adam akisoma gazeti wakati Hawa akifuma na wakiwa wote pamoja kwenye sofa lakini katika mkao wa 'Social Distancing' . Wote wawili wamevaa sura za utu uzima na Shaitwan (nyoka) akiwa amebandikwa juu kidogo ya vichwa vyao.
Mchoro huu unaonyesha uhusiano uliovunjika muda mrefu kati yao baada ya kula tofaa kutoka katika mti uliokatazwa...
 
syr.jpg

Internet and smartphones make people addicted to themselves like drugs.
 
forests.jpg

The world is a beautiful place. But it won't be like this for long seeing the pace at which we are trying to destroy it. We might not want to do this, but our actions prove that we do the opposite of what we want. After all, taking everything and never giving anything back can only end in disaster.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom