Ahsante sana,,ndio maisha mpendwa,kuna mengi sana ktk maisha,zaidi ya haya,,ila subra na kutokata tamaa ni kitu kikubwa sanaNimejisikia kutokwa na machozi hasa hapo mlipokula maembe mabichi mkalala na hapo alipokua mgonjwa na mtoto pembeni imeniuma sanaaa. Mungu awape furaha maana karaha mmeshazipitia.
Kabisa ndugu yangu,thanksWanawake wachache mno wa ivyo. Shukuru Mungu upate mwanaume mwema, mpole, mwenye hofu na Mungu hata kama uwezo wake ni mdogo. Wangapi wenye hela zao wanawanyanyasa wake zao na kuwafukuza!!! Lakini dunia ya sasa kumpata mwanaume alietulia ni nadra mno, kwa wanawake pia hivyo hivyo, wewe na bahati yako kamanda.
Ahsante sana,barikiwaAngalau leo tumepata ushuhuda wa Mke mwema, asante sana mleta mada.
Mungu awajalie baraka zake kadri atavyopendezwa, Amen.
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
HakikaMuwe mnawaza mema wakati wote maana Mungu kawaahidi anawawazia mema, sasa kwanini muwe na wasiwasi kila wakati nakati aliye mbele yenu ni hodari kuliko changamoto zote ktk hii dunia?
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
AhsanteHongereni sana.Mungu azidi kuwainua
Angalau mnatupa moyo kuwa bafo kuna ndoa njema
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Ngoja nijaribuWeka link au video tuone..
Usinilazimishe WANAWAKE wa siku hizi Ni ma Umbwa yasiyojielewaHivi kwa mfano mtoto wako wa darasa la 1, akikuletea ripoti ya matokeo yake ya mtihani ameshika nafasi ya 1; utamwambia "huo sio mtihani wa kupongezwa, subiri mtihani wa darasa 7 uone kama utafaulu"? Ujue comments nyingine zinakufanya uhisi malezi mtu aliyolelewa, au malezi anayolea watoto wake. Mtu akifanya jambo jema, mpe sifa yake; usidharau au kutake for granted, kisa kesho na kesho kutwa anaweza kuja kukosea; ya kesho mtayajuaga hukohuko
Get well soon IJNUsinilazimishe WANAWAKE wa siku hizi Ni ma Umbwa yasiyojielewa
ThanksGet well soon IJN