The Wisdom Artwork and Printing

The Wisdom Artwork and Printing

Bro Wise

Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
69
Reaction score
5
Tunakaribisha oda za kazi za sanaa na uchapaji- Printing, kwa logo/lebo/nembo za aina mbali mbali. Tunafanya ubunifu wa Logo/lebo/nembo mbali mbali kama za shule, makampuni, Vikundi vya kibiashara na kijamii, vyama vya kidini, vyama vya siasa n.k. Pia Tunachapa/Ku-print logo zilizobuniwa tayari, Vile vile tunatoa mafunzo ya kazi za sanaa ya uchapaji-Printing kwa wanaotaka kujifunza. Dar es salaam tupo Sinza karibu na iliyokuwa Vatcan Hotel, kwa Mwanza tupo njia ya kwenda CAPRIPOINT jirani na chuo cha Bank kuu-BOT. Wasiliana nasi kwa namba zifuatazo: 0682169798, 0754436126. KARIBUNI!
 
Back
Top Bottom