Looh asante cause am about too but Kila nikitaka ku step out huyu hapa.....
We are out to gather...
Cheers and thanks for everything.
Rafiki mbona unanicheka na kuondoka...!!?

Ahahahhaaaaaaaaaaa....Aahahahahahaaa kiasali ujue watoto wameshaamka saahizi watatusikia tunavyorina asali na unajua utamu wa asali ulivyo wakati wa kurina hata uking'atwa na nyuki husikii maumivu kabisaa.
Dah! kwema ndugu yangu?Same here, enjoy your weekend. 😍💋
Dah! kwema ndugu yangu?
Naam but Luiz bora kuliko wale kina mustafi na yule giriki bado mbichi ligi wacha tuoneKwema kabisa Mkuu, heshima yako. Chama langu mwaka huu safu ya mashambulizi tuko vizuri sana lakini ulinzi na nyanda bado uchochoro namba ya nne inanukia au hata ya tatu ila kwa mbinde sana.