Wenzetu wanamuda mwingi wakukaa na kuvumbua kwetu sisi haiwezekani tunafukuzana na maisha kwanza.kila siku ni lazima tutafute mkate kwanza ndo mengine yafuate.
Kna mdau m1 wa elimu za juu nilimckia ktk kipind cha Today in perspective TBC, akisema vyuo vya ughaibuni mf.USA mwanafunz anakaa darasan masaa 18 wakat Tz mwanafunz anakaa darasan masaa 34 kwa wiki, Je? unategemea huyu mwanafunz ana nafas ya kupumzisha akil,kujumuika library na kupata muda mzur wa kufikir zaid ya afundishwayo. shortly ,tuna elimu ya kukomoana!
sawa tu ila ukweli utabaki pale pale!embu ngoja nikumbie jambo 1.niliwahi kusikia kule mbeya kuna mtu aliweza kutengeneza radio station yake,kashkashi aliyoipata alijuta.hayo ni yakusikia siyaamini sana ila huku kwetu kuna mtu aliwahi kukamatwa kwa kosa la kupatikana na bunduki ya kienyeji aliyoitengeneza mwenyewe,jumlisha na ule uliyowahi kuuona wewe na hatima yao.

Kusema kweli sipendi haya maneno ya kujilaaani' kila siku utaskia watu wanasema ooh wenzetu wana..... Sisi tuna.... Mi naona tusijumuishe wote we jisemee mwenyewe bana
..... wanafunzi wanadai field wanafukuzwa chuo

Tutapata muda wapi wa kufikiria kuvumbua wakati tumbo linauma njaa?Watanzania tuna laana, tumrudie Mungu
Halafu jaribu kuvumbua kitu kwenye giza hili la ngeleja ambalo hata kuvaa ndomu ni shida kwenye ule uvumbuzi tunaoongoza duniani lol!Wenzetu wanamuda mwingi wakukaa na kuvumbua kwetu sisi haiwezekani tunafukuzana na maisha kwanza.kila siku ni lazima tutafute mkate kwanza ndo mengine yafuate.
Kuna mtu kaja na mashine yake toka Ughaibuni ya kubadili mafuta ya kupikia yaliokwisha tumika mahotelini ili yatumike kwenye malori Ewura wamempiga stop eti hairuhusiwi.sawa tu ila ukweli utabaki pale pale!embu ngoja nikumbie jambo 1.niliwahi kusikia kule mbeya kuna mtu aliweza kutengeneza radio station yake,kashkashi aliyoipata alijuta.hayo ni yakusikia siyaamini sana ila huku kwetu kuna mtu aliwahi kukamatwa kwa kosa la kupatikana na bunduki ya kienyeji aliyoitengeneza mwenyewe,jumlisha na ule uliyowahi kuuona wewe na hatima yao.
Wenzetu wanamuda mwingi wakukaa na kuvumbua kwetu sisi haiwezekani tunafukuzana na maisha kwanza.kila siku ni lazima tutafute mkate kwanza ndo mengine yafuate.
Faiza if you say this word one more time i will PUKE !Unanchekesha!
Faiza if you say this word one more time i will PUKE !
Halafu jaribu kuvumbua kitu kwenye giza hili la ngeleja ambalo hata kuvaa ndomu ni shida kwenye ule uvumbuzi tunaoongoza duniani lol!
Kuna mtu kaja na mashine yake toka Ughaibuni ya kubadili mafuta ya kupikia yaliokwisha tumika mahotelini ili yatumike kwenye malori Ewura wamempiga stop eti hairuhusiwi.