NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,754
- 49,657
- Thread starter
- #21
teh teh, labda kama hicho halafu kiwe na anachokitaka ndio udenda utamtoka, lakini huo, atapoteza resources zake bure nadhani, kwa maadaui zake wakubwa kuna zaidi ya hii pia kuna wengi wanatembelea akifanya mambo anaweza akafanikiwa lakini hapo kwetu viofisi vya mamlaka ya usafiri tuu, sio sana .Vitu kama ivi ndo marehemu bin laden alikuwa akiviona udenda unamshuka.