The view, kutoka kwenye mnara kivukoni

NDINDA

Platinum Member
Apr 4, 2011
10,324
47,042
Huo mnara mkuu una lift mpaka namba nane. Lakini sijui kama lighthouse ni jina lake sahihi. Huu mnara ni Dar-es-salaam port control tower. Na kuna ofisi zingine kama ghorofa ya saba kuna SUMATRA.
 
Wakuu siku zote napita hii mitaa lakini sijui huu mnara ni wa nini, kwa anayejua plse naomba anifahamishe hivi unahusika na mambo gani hasa au ni mnala wa simu kama VOdacom + tiGo au Airtel? anayejua plse tel me wakuu

Nawasilisha !!
 
Mkuu kama ofisi za SUMATRA Zipo ndani ya mjengo huu kweli wanawezaje kujua tatizo la msongamano wa magari, milundikano ya abiria ktk dalaldala wakati wao muda wote wapo kwenye Viyoyozi humo ndani! It is so sad kwa sababu daladala nyingi zinazokuja feri hasa asubuhi na jioni hata kuanzia saa 9 huwa kero balaaa na nyomi ya kufa mtu sasa hawa wa.she.nzi huko ndani mjengoni hawaoni au ndo kila mtu atalijua jiji kivyake? angryyyyyyyyyyyyyy ! wanakera sana hawa jamaaa SUMATRA!
 
yaani mi ndahani kama wapo huko juu ndi wana u wezo wa kuona vizuri utaratibu ulivyo barabarani na majini ili watengeneze mpango kabambe wa kudhibiti fujo na kero zote barabarani, du, nadhani ruti za mabasi ya abiria zingetengwa zisichanganywe na magari mengine ili wanao enda makazini waweze kuwahishwa, tutafika tuu
 
Mkuu kama ofisi za SUMATRA Zipo ndani ya mjengo huu kweli wanawezaje kujua tatizo la msongamano wa magari, milundikano ya abiria ktk dalaldala wakati wao muda wote wapo kwenye Viyoyozi humo ndani! It is so sad kwa sababu daladala nyingi zinazokuja feri hasa asubuhi na jioni hata kuanzia saa 9 huwa kero balaaa na nyomi ya kufa mtu sasa hawa wa.she.nzi huko ndani mjengoni hawaoni au ndo kila mtu atalijua jiji kivyake? angryyyyyyyyyyyyyy ! wanakera sana hawa jamaaa SUMATRA!

Ungependa ofisi zao ziwe kwenye daladala?
 
Ni sehemu nzuri kwa SUMATRA kuweza kuona barabara zenye msongamano ili waandae mipango ya kutatua tatizo hilo.
 
Najaribu kufafanua baadhi ya maswali. Kwanza level 8 kuna ofisi za bandari inayohusika na uongozaji wa meli katika kuingia na kutoka bandarini na huko nje outer anchorage( wanapotia nanga),mbili level 7 kuna ofisi za SUMATRA kitengo kinachoitwa MRCC yaani maritime rescue coordinating centre. Na mwisho huko chini level 1 to 6 kuna ofisi zingine, nyingi zikiwa za Bandari. Nawasilisha.
 
Kwa kuongezea hapo SUMATRA kuna mitambo kwa wale wenzangu wa mambo yetu yaleee wanaijua kama GMDSS inayoweza kupata habari kuhu meli yeyote ikiwa matatizono mahali popote duniani na wana uwezo wa kuconvey hiyo habari na kuipeleka popote duniani bila hata kupitia kwa akina voda,tigo,zanteli and alike. Hiyo GMDSS stands for Global Maritime distress and safety system.
 
Najaribu kufafanua baadhi ya maswali. Kwanza level 8 kuna ofisi za bandari inayohusika na uongozaji wa meli katika kuingia na kutoka bandarini na huko nje outer anchorage( wanapotia nanga),mbili level 7 kuna ofisi za SUMATRA kitengo kinachoitwa MRCC yaani maritime rescue coordinating centre. Na mwisho huko chini level 1 to 6 kuna ofisi zingine, nyingi zikiwa za Bandari. Nawasilisha.

mkuu nakushukuru kwa kuchangia nasi
 
Wakuu siku zote napita hii mitaa lakini sijui huu mnara ni wa nini, kwa anayejua plse naomba anifahamishe hivi unahusika na mambo gani hasa au ni mnala wa simu kama VOdacom + tiGo au Airtel? anayejua plse tel me wakuu

Nawasilisha !!
Pale juu wapo sumatra na polisi traffic.Watanasa namba za magari yatakayovunja sheria za barabarani.Fine inachakachuliwa na kupelekwa TRA kwa collection.Fine ikizidi tu mara utasimamisha barabarani na MAJEMBE ili gari linadiwe.Naomba kuwasilisha!
 
Back
Top Bottom