The vatican changing tone on homesexuality?!

Status
Not open for further replies.
Watu wanataka kupotosha umma. Mkutano wa Sinod hauwezi kubadili msimamo wa Kanisa. Nimesikiliza habari sasa hivi Vatcan wamepinga tamko hilo.
Tupia hapa hiyo link ili tudadavue pamoja
 
Anatamani uwe karibu take akukate kidochi chi chi chi chiii
 
Last edited by a moderator:

Unawezaje kurukia kuhukumu kuwa ni uongo bila Ku prove kwanza??

Habari za mapadre na makatekista kulawiti zimeanza Leo??

Tuache hayo .... Vipi hayo ya akina papa unayaongeleaje?
 
Unawezaje kurukia kuhukumu kuwa ni uongo bila Ku prove kwanza??

Habari za mapadre na makatekista kulawiti zimeanza Leo??

Tuache hayo .... Vipi hayo ya akina papa unayaongeleaje?

Ishmael Leo hataki kusema chochote juu ya hili Wakati ktk mada zingine km Za ndugu zetu wa upande wa pili hua unakomaa sn...!

Umemuuliza swali zuri Ngoja Tuone atajibu nini!
 
Last edited by a moderator:

Hahaaa very funny, kama ulikuwa hujui kwa waarabu hata kuzini tu ni zambi kubwa, achilia mbali hayo mengine hata ndiyo maana ukiangalia HIV rate kule ni ndogo sana, acha kukariri
 
Hahaaa very funny, kama ulikuwa hujui kwa waarabu hata kuzini tu ni zambi kubwa, achilia mbali hayo mengine hata ndiyo maana ukiangalia HIV rate kule ni ndogo sana, acha kukariri

Mkuu incharge sasa hivi kanisa katoliki ni mwendo wa vipara tu
 
Ishmael Leo hataki kusema chochote juu ya hili Wakati ktk mada zingine km Za ndugu zetu wa upande wa pili hua unakomaa sn...!

Umemuuliza swali zuri Ngoja Tuone atajibu nini!

Yeah huwa anakomaa Sana nakumbuka aliwahi pigwa ban ya miezi 3 kipindi anatumia jina la schiendler kwa kosa la kuukashifu mno uislamu....

Alikuwa kutwa naleta habari zihusuzo waislamu sasa nashangaa Leo kanywea Sana....

Ngoja tuone labda ataleta chochote.....
 
Last edited by a moderator:
Ishmael ameshakuwa kitoweo kanisa limeshasema nani wa kupinga?
 
Unawezaje kurukia kuhukumu kuwa ni uongo bila Ku prove kwanza??

Habari za mapadre na makatekista kulawiti zimeanza Leo??

Tuache hayo .... Vipi hayo ya akina papa unayaongeleaje?
Kazi ya kuprove ni yako and not me. Kwenye kesi huwa kuna mlalamikaji na evidence zake na mtuhumiwa na yeye kuw anakuja na evidence zake za kupinga claim. Hapa mtuhumiwa hayupo lakini mlalamikaji au Plaintiff yupo. Sasa you as a plaintiff you need to annex evidence in your summons and complaint.

Ndio maana nilisema, mimi sikutakiwa kukukumbusha kuwa unatakiwa kusaidia madai yako. Kama tungekuwa tupo mahakamani, elewa kuwa, Kesi yako ingetupiliwa mbali. Now, to make the story short, why don't you give me the evidence ili-nikubali kosa la kukusingizia na kutubu mbele ya kadamnasi, I am ready to do that.

KUHUSU PAPA:
Mimi ni mfuasi wa Yesu Kristo Mungu na sio Papa. Hivyo ya Papa namwachia Papa. Mie niulize kivipi YESU NI MUNGU, Walahi nitafurai na kukua kutoa dozi kwa Wanao pinga Uungu wa Yesu.

Biblia inasisitiza kila mara kwamba ushoga ni dhambi (mwanzo 19:1-13; mambo ya walawi 18: 22; warumi 1:26-27; wakorintho wa kwanza 6:9). Warumi 1:26-27 inatufundisha ya kwamba ushoga ni njia mojawapo ya kumkana na kutomtii Mungu. Mtu anapodumu katika dhambi na kutokuamini biblia inatuambia ya kwamba "Mungu huwaachilia" kutenda maovu zaidi ili wapate kujua ubatili wa maisha bila Uwepo wa Mungu. Wakorintho wa kwanza 6:9 inasema kuwa mashoga hawataurithi ufalme wa Mungu.

Mungu haumbi mwanadamu mwenye tamaa ya ushoga. Biblia inatuambia mtu huwa shoga kwa sababu ya dhambi. (warumi 1:24-27), na pia kwa sababu ya uamuzi wake mwenyewe. Mtu anaweza kuzaliwa na msukumo juu ya ushoga kama vile watu pia huzaliwa na msukumo juu ya fujo na dhambi nyinginezo. Hili halihalalishi dhambi yoyote inayofanywa na wanadamu. Je, mtu akizaliwa na msukumo wa hasira mbaya, ni halali aendeleze hasira zake mbaya? La, hasha. Hata kwa ushoga pia si halali.

Tupo pamoja Mkuu.
 
Ishmael ameshakuwa kitoweo kanisa limeshasema nani wa kupinga?
Biblia inapingana na maneno yako:

Biblia inasisitiza kila mara kwamba ushoga ni dhambi (mwanzo 19:1-13; mambo ya walawi 18: 22; warumi 1:26-27; wakorintho wa kwanza 6:9). Warumi 1:26-27 inatufundisha ya kwamba ushoga ni njia mojawapo ya kumkana na kutomtii Mungu. Mtu anapodumu katika dhambi na kutokuamini biblia inatuambia ya kwamba “Mungu huwaachilia” kutenda maovu zaidi ili wapate kujua ubatili wa maisha bila Uwepo wa Mungu. Wakorintho wa kwanza 6:9 inasema kuwa mashoga hawataurithi ufalme wa Mungu.

Sasa, wapi kwenye Biblia panaruhusu ushoga? Nipe aya.
 
Ishmael Leo hataki kusema chochote juu ya hili Wakati ktk mada zingine km Za ndugu zetu wa upande wa pili hua unakomaa sn...!

Umemuuliza swali zuri Ngoja Tuone atajibu nini!

Ngoja nikujibu kwa kutumia Biblia abayo ndio NENO PEKEE LA MUNGU:

Biblia inasisitiza kila mara kwamba ushoga ni dhambi (mwanzo 19:1-13; mambo ya walawi 18: 22; warumi 1:26-27; wakorintho wa kwanza 6:9). Warumi 1:26-27 inatufundisha ya kwamba ushoga ni njia mojawapo ya kumkana na kutomtii Mungu. Mtu anapodumu katika dhambi na kutokuamini biblia inatuambia ya kwamba "Mungu huwaachilia" kutenda maovu zaidi ili wapate kujua ubatili wa maisha bila Uwepo wa Mungu. Wakorintho wa kwanza 6:9 inasema kuwa mashoga hawataurithi ufalme wa Mungu.

Mungu haumbi mwanadamu mwenye tamaa ya ushoga. Biblia inatuambia mtu huwa shoga kwa sababu ya dhambi. (warumi 1:24-27), na pia kwa sababu ya uamuzi wake mwenyewe. Mtu anaweza kuzaliwa na msukumo juu ya ushoga kama vile watu pia huzaliwa na msukumo juu ya fujo na dhambi nyinginezo. Hili halihalalishi dhambi yoyote inayofanywa na wanadamu. Je, mtu akizaliwa na msukumo wa hasira mbaya, ni halali aendeleze hasira zake mbaya? La, hasha. Hata kwa ushoga pia si halali.

Hata hivyo Biblia haiitaji dhambi ya ushoga kuwa ndiyo kubwa zaidi. Kila dhambi ni chukizo kwa Mungu. Ushoga ni mojawapo ya mambo yaliyoorodheshwa katika wakorintho wa kwanza 6:9-10 yatakayozuia mtu asiingie katika ufalme wa Mungu. Kulingana na Biblia msamaha wa Mungu juu ya shoga upo sawa na wa mzinzi, muabudu sanamu, muuaji, mwizi na kadhalika. Mungu tena aahidi uwezo juu ya kushinda dhambi, pamoja na ushoga, kwa wale wote watakao mwaminiYesu kristo kwa wokovu wao (wakorintho wa kwanza 6:11; wakorintho wa pili 5:17).

Hivyo basi, USHOGA NI DHAMBI kama ulivyo semwa na Biblia. Zaidi ya hapo, Ukristo ni UFUASI WA YESU KRISTO na sio Papa au Mchungaji. OLE WENU MNAO WAFUATA WATU. Hakika mtavuna mnacho kipanda.

YESU NI MUNGU NA ANAWAPENDA WOTE
 
Hayo maneno mwambie papa basi si kiongozi wako?
 
The infallible word says in Proverbs 27:5, Open rebuke is better than a secret love.

Huwa ndio ninacho kifanya, ingawa binadamu huwa hampendi kuambiwa ukweli. I will always confront evil as is. Period.

As Christians, we need to be aware of the reality of the presence of evil. As we struggle to stand firm in our faith, we must realize that our enemies are not merely human ideas, but real forces that come from the powers of darkness. The Bible says, "For our struggle is not against flesh and blood, but against the rulers, against the powers, against the world forces of this darkness, against the spiritual forces of wickedness in the heavenly places" Ephesians 6:12.

Hayo maneno mwambie papa basi si kiongozi wako?
My leader is the Holy Spirit.

1 John 2:27 But the anointing which ye have received of him abideth in you, and ye need not that any man teach you: but as the same anointing teacheth you of all things, and is truth, and is no lie, and even as it hath taught you, ye shall abide in him.
 
I thought we dare to speak openly!,...mh!, ninya :tape2::tape2: naona ban is right at my door step!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…