Huo mkutano haujadili kubadilisha Doctrine yoyote ya Kanisa na pamoja na habari hizi kuandikwa kwa uzuri kufurahisha wale ndugu zetu pamoja na maadui wa kanisa bado wasiojua mifumo ya Kanisa Katoliki kesho wataandika kabisa "Kanisa Katoliki lakubali ushoga" .....kwa anayetaka kuelewa nini kilijadiliwa aingie kwenye official site za Kikatoliki ili usome ujumbe halisi na si hizi tafsiri zenye lengo la kuonesha sasa Kanisa linatambua mashoga ...... Kwa mnaosubiri Kanisa kutangaza kuwatambua rasmi mashoga mtangoja MILELE ......miaka zaidi ya 2000 kanisa ni moja na halijawahi kuyumba kimafundisho ......nani aliyumbishe sasa? Hao activist wenye media kubwa kubwa na ambao watu wetu wengi wanachota habari zenye tafsiri zao?