Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 28,465
- 45,761
Kwahiyo utafanyaje sasa wakiamua?
Utaweza kuinua mkono kushindana nao?
Hebu tuacheni mizaha na maisha ya watu watakaoathirika na ubabe wenu huo wa nyuma ya keyboard. Mnasaidiwa hadi maji safi na vyoo achilia mbali madawa ya ukimwi na condoms alafu mnataka kujifanya kujilinganisha na kujipima nao.
Umewahi kuangalia bajeti yenu mnayopanga kwa mwaka asilimia ngapi mnawategemea hawa watu? Acheni siasa za kujifanya ubabe mbuzi huo.
Mkuu kusaidia kwao ndio ifanye watu wawe dhalili kwa kuafikiana nao kuwa wao ni wazuri likija suala la human rights?
Tukubaliane kuwa kila mmoja ana maoni yake na uhuru wa kuongea pia.
Yanayotokea duniani ni mabaya sana na kila mmoja ni anajitetea kiaina
Mengi yaliyoaandikwa juu yao ni ukweli usiopingika