Kwanza angalia style ya messi anavyocheza halafu angalia ronaldo anavyocheza, messi anacheza namba kumi ambayo anacheza kama AMF, anashuka someTImes hadi kwa centra Midfield "CM" na kuchukua mpira kudribo kupanda kwenye eneo la hatari la opponet, wakati ronaldo cristiano kwa sasa anacheza kama central striker, wakati mwing anasimama kwenye box kusubiria cross au penetration pass, kdogo alivyokua man u na mwanzo akiwa madrid alikua anacheza kutokea pembeni kwa kasi na eneo la juu la kushambulia, uzuri wa ronaldo upo katika speed na kukimbia kupita mabeki lakini hawezi kuchezesha timu kama messi, bro! Ronaldo is CF while messi ni AMF, NANI ANAFANYA KAZI KUBWA UWANJANI HAPO?Kitu gani ambacho anacho lakini Ronaldo hanacho toa fact nikupe hela eboooh.
~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
Acha fix bhana.CR anatokea pembeni,kati anasimama mandzukic.Kwanza angalia style ya messi anavyocheza halafu angalia ronaldo anavyocheza, messi anacheza namba kumi ambayo anacheza kama AMF, anashuka someTImes hadi kwa centra Midfield "CM" na kuchukua mpira kudribo kupanda kwenye eneo la hatari la opponet, wakati ronaldo cristiano kwa sasa anacheza kama central striker, wakati mwing anasimama kwenye box kusubiria cross au penetration pass, kdogo alivyokua man u na mwanzo akiwa madrid alikua anacheza kutokea pembeni kwa kasi na eneo la juu la kushambulia, uzuri wa ronaldo upo katika speed na kukimbia kupita mabeki lakini hawezi kuchezesha timu kama messi, bro! Ronaldo is CF while messi ni AMF, NANI ANAFANYA KAZI KUBWA UWANJANI HAPO?
pia angalia aina za assist xa messi na jinsi anavyopiga pass ndio ut
MAvv9 y
Siujui mzeee.Wanaoujua mpira ni mashabiki wa barca na messi.Si ndo ipo hivyo,au imebadilika siki hizi?Bro mbona kama hauujui mpira wa miguu? sijakuelewa unaposema messi anabebwa na timu na wachezaji, unaujua kwel mpira wa miguu?
haipo hvyoSiujui mzeee.Wanaoujua mpira ni mashabiki wa barca na messi.Si ndo ipo hivyo,au imebadilika siki hizi?
Sent using Jamii Forums mobile app
akicheza saaana ronaldo ndio anakua kama RW/LW AMBAPO anakua anatokea pembeni, wakati messi anacheza role nyng kwa wakat mmoja, AMF/ kama creative playmaker, au anaweza akacheza AM kama deep namba ten, na bado anadribo hadi anaenda kufunga kama AMF au CFAcha fix bhana.CR anatokea pembeni,kati anasimama mandzukic.
Umekariri game moja tuuu vs atletico.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye top score ni uongo tena mkubwa..Ukibisha Uje na facts sitaki longolongo ntakupiga BAN la kufa mtu[emoji38][emoji38][emoji23][emoji23]View attachment 1049208View attachment 1049210
Sent using Jamii Forums mobile app
CR n zaid ya ulivyokariri.Unakuta hata game za juve huangaliiiakicheza saaana ronaldo ndio anakua kama RW/LW AMBAPO anakua anatokea pembeni, wakati messi anacheza role nyng kwa wakat mmoja, AMF/ kama creative playmaker, au anaweza akacheza AM kama deep namba ten, na bado anadribo hadi anaenda kufunga kama AMF au CF
Unauliza kabebwa vipi na timu?unasahau kuna kipind watu barca tunaenda kumuangalia xavi na iniesta?Bro mbona kama hauujui mpira wa miguu? sijakuelewa unaposema messi anabebwa na timu na wachezaji, unaujua kwel mpira wa miguu?
Mzee,umesahau messi ndo sababu ya kuflop kwa baadhi ya wachezaji barca pale,kisa hapati uhuru?Kuna clips zinaonyesha team mate wenzake wakifunga linaumia kinoma [emoji34][emoji34][emoji34][emoji48][emoji48]
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kutuongopea mzee..... Nani alijibu hivo kwa cr7??mkuu wewe naona huna akili kabisa akafanye nini uko na ndo maana ronaldo alipokuwa anataka aongezew dau real madrid za kunyapia nyapia aljibiwa ivi KAMA VIPI SEPA UNATAKA ULIPWE KAMA MESSI
Nawe mtafute aliyechukua U.E.F.A tatu mfululizo,ukimpata na kupa buku mbili ya vocha
~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
Namjua tokea akiwa MAN U, wewe unazungumzia mechi za juve?
haahaha jamaa mahaba yake kwa ronaldo yameptilza, kwahyo anamaanisha aliechukua UEFA tatu mfululizo kikosi cha madrid kilikua na RONALDO mwenyewe kikosi kizima.Mbona wapo weng mkuu, karim benzema, bale na ramos, au unataka wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
bro ndio maana nakwambia mpira huujui unausikilza kiushabiki tu, unataka messi acheze bili viungo? hao xavi na iniesta bado wapo? kazi aliyofanya modric mpaka ronaldo kachukua hzo uefa tatu mfululizo mbona hatusemi? ni kwasababu tunaujua mpira ulivyo,Unauliza kabebwa vipi na timu?unasahau kuna kipind watu barca tunaenda kumuangalia xavi na iniesta?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na nyinyi kila kitu ubishi Pep mlisema hivi hivi, ona sasa anacho kifanya Uengereza kwenuNinachokiona ligi ya spain ina uwiano mbovu sana kati ya timu kubwa na timu ndogo.....
Tumuombe messi akajaribu soka kwengine.... tangu ana miaka 13 mpaka umri huo yupo kwenye club hiyo hiyo.... barca ni messi na messi ni barca.... ana kipaji kikubwa sana, lakini mfumo wa barca unamnufaisha pia.
Kitu kimoja kwa ronaldo ambacho ni kikubwa sana kuweza kukabiliana na mikimiki ya huyu messi... bila ronaldo messi angekuwa ametamba kwa miaka 10 bila upinzani.... Neymar, Hazard wamefeli kuwa kwenye kiwango cha hawa jamaa.... mpira sio tennis kwamba utashindanisha wachezaji kwa kigezo cha one on one.....
Kutokana na aina ya uchezaji wa barca Ronaldo angelichezea timu hiyo angefanikiwa zaidi kuliko sehemu zote alizopita.... kucheza na akina oshea sio jambo rahisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Azisheni uzi wenu hukoHakuna mchezaji Kama Ronaldo na atakuja kutokaea.OVER
~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
Una shida sana wwHakuna kama Cr7 case closed over.
~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
Bro mbona kama hauujui mpira wa miguu? sijakuelewa unaposema messi anabebwa na timu na wachezaji, unaujua kwel mpira wa miguu?
Acha fix bhana.CR anatokea pembeni,kati anasimama mandzukic.
Umekariri game moja tuuu vs atletico.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli acha uwongo .. messi huwa ana waachia mpaka wenzake wapige penalty .. mwenye hiyo tabia ni cr7Kuna clips zinaonyesha team mate wenzake wakifunga linaumia kinoma [emoji34][emoji34][emoji34][emoji48][emoji48]
Sent using Jamii Forums mobile app