The U S Ambassador who was killed in Benghazi

The U S Ambassador who was killed in Benghazi

Andrew Nyerere

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2008
Posts
3,007
Reaction score
2,468
” Christopher Stevens (52), on Tuesday 11th September 2012, at the non-existent US consulate in Benghazi, was the killing of a Bush agent by a Rothschild agent in a proxy battle over Libyan oil and Libyan gold.
Picture: US Ambassador Christopher Stevens assassination. Benghazi, Libya 2012.

The picture of Christopher Stevens' abduction shown above was not allowed to be published in the Western mainstream media, nor were the exact circumstances of his death. Arabic language news outlets were not so coy. Over a period of eight hours, Stevens was raped, slowly tortured to death and raped again. His body was then returned to the remaining US CIA people in Benghazi.
 
yaani wakambaka akiwa hai na maiti yake vile vile?
Animals...
 
THE VISIBLE FALLOUT HAS BEGUN. ILLUMINATI RATS FIGHT IN THE SACK. MUTUAL ASSURED DESTRUCTION OF NEGATIVE SYNDICATES ESCALATE

Alcuin Bramerton

This is the source of the information, fourwinds10.com,that is the article by that author No one is suggesting that you should believe everything you read there. But pictures don't lie.
 
And yet we say Islam is a good religion. Hawa pia walikuwa wanasema Allah akibar wakati wanamfanyia hivyo. Hii haihitaji ushaidi picha inaonyesha jinsi gani alivyoteswa. Mungu amrehemu
 
[h=1]THE VISIBLE
FALLOUT HAS BEGUN. ILLUMINATI RATS FIGHT IN THE SACK. MUTUAL ASSURED
DESTRUCTION OF NEGATIVE SYNDICATES ESCALATE[/h]
[h=4][/h]
[h=3]Alcuin Bramerton[/h]

This is the source of the information, fourwinds10.net,that is the
article by that author No one is suggesting that you should believe
everything you read there. But pictures don't lie.

Sometimes Andrew nashindwa kukuelewe kuhusu hawa Rothschild wako. Fact ni kwamba Chriss aliuawa kwenye ambushi ya rocket huko bengazi. Sasa swala, la kwamba walimkamata, wakamteka, wakaenda kumlawiti, wakamrudisha, wakamchukua tena, wakamlawiti, wakamrudisha, alafu CIA and Special US comandos walikuwa wapi, walikuwa wanaangalia tu au? Okay, hiyo conspirancy theory yako ya Rothschild kuwa nayo makini sana...
 
Picha inajieleza, kama ni ambush ya rocket na hii picha vipi?
 
mkubwa, post kama hizi jamaa hawa zomba, DULLAH MSAVIVOR, Mohamed Said, Ritz wanasepa hawashiriki kabisa

Hebu fafanua ili nifahamu unataka nijibu nini,post kama hizi,kama zipi?,hao hawatashiriki,kwa hiyo? Hao ni nani kwangu mimi,kwa nini unawataja? Posti ya kuandika Ghadhafi kulawitiwa,hiyo imefanywa na wanamapinduzi wa Libya,imetangazwa skynews. Maovu lazima yafichuliwe. Umesikia dogo anataka kufichua uovu wa Chadema leo. Uovu upo katika kila taasisi duniani. Upo uovu katika Chadema,katika CCM pia. Lakini tatizo CCM ni kudumaa kwa akili. Tatizo Chadema na CUF ni ujeuri mwimgi.
Hakuna habari mpya ambayo tunataka kumwambia mtu. Imebakia utekelezaji. Mtu anayekuja na habari mpya,ni lazima awe suspect. We know the enemy,now is the time to act.
 
sijauliza kitu mkubwa, nakupa taarifa tu. Thread yako ipo hewani tangu saa mbili jana usiku, lakini imechagniwa na wachache sana mpaka sasa. haina maana kuwa taarifa haina maana, bali imefichua madudu ya watu wanaovunja haki za watu wengine huku wakimtaja ALLAH AKBAR!!! Ndo njemba hizo nakwambia haziwezi kuja kusoma hapo kwani dhamiri zao zinachomwa.

By the way, dogo yupi anafichua ufisadi leo na wapi?
 
yaani wakambaka akiwa hai na maiti yake vile vile?
Animals...

Bila shaka hata lugha aliyotumia kuwa alikuwa "raped" siyo sahihi bali angesema alikuwa "Sodomized" Mwanaume hawezi kuwa raped kwani raping ni sex ya kutumia nguvu kupitia utupu wa mbeleni kwa mwanamke bila ridhaa. Sasa kwa mwanaume huwezi kum-rape kwa kuelewana kwani hana umbile la mbeleni kama alilonalo mwanamke.
 
Sometimes Andrew nashindwa kukuelewe kuhusu hawa Rothschild wako. Fact ni kwamba Chriss aliuawa kwenye ambushi ya rocket huko bengazi. Sasa swala, la kwamba walimkamata, wakamteka, wakaenda kumlawiti, wakamrudisha, wakamchukua tena, wakamlawiti, wakamrudisha, alafu CIA and Special US comandos walikuwa wapi, walikuwa wanaangalia tu au? Okay, hiyo conspirancy theory yako ya Rothschild kuwa nayo makini sana...

Message yangu ni yule Balozi alitekwa nyara[grabbed],na sio kurushiwa kombora kama inavyosadikiwa,na ametendwa hayo mambo mabaya. Tunamshukuru aliyeleta hizo habari. CNN wanaficha habari kama hizo halafu wanaleta a a false sense of security..
Whether kama Rothschilds walihusika,that does not concern me.Habari ninazoandika mimi kuhusu conspiracy theories ni zile zinazotolewa na Hatonn. Na Hatonn anapoandika kitu anatoa ushahidi,ananukuu makala au kitabu ambacho kinathibitisha maneno yake. Huyu mtu ametoa maoni yake bila uthibisho.
 
Bubu Msemaovyo anasema mwanaume hawezi kuwa raped. Amazingly,katika Black's Law Dictionary,katika definition ya rape,hakuna mention ya mwanaume kuwa raped. Labda huyu Bubu ni lawyer.
Lakini katika dictionary za kawaida inaandikwa kwamba rape is having sex with a person without their consent.
 
Message yangu ni
yule Balozi alitekwa nyara[grabbed],na sio kurushiwa kombora kama
inavyosadikiwa,na ametendwa hayo mambo mabaya. Tunamshukuru aliyeleta
hizo habari. CNN wanaficha habari kama hizo halafu wanaleta a a false
sense of security..
Whether kama Rothschilds walihusika,that does not concern me.Habari
ninazoandika mimi kuhusu conspiracy theories ni zile zinazotolewa na
Hatonn. Na Hatonn anapoandika kitu anatoa ushahidi,ananukuu makala au
kitabu ambacho kinathibitisha maneno yake. Huyu mtu ametoa maoni yake
bila uthibisho.

Kwa muda wote ambao niko na US embassy dsm, sijawai kuona Ambassador yuko 'loose', without proper security, that is the order of the days.
Tambua kwamba US ambassadors are well protected katika maeneo ambayo si salama kama Libya, na ulinza wao katika maeneo hayo ni zaidi ya rais wa tz. kwa mfano Ambassador Alfosso analindwa sana zaidi ya huyu rais wetu, though tz si sawa na libya.
kwa hiyo unapozungumzia ambassador chriss kuwa grabbed, kulawiti, kurudishwa, kuchukuliwa tena, kubakwa tena, na kurudishwa kwa hili nakushangaa sana, source yako itakuwa ni false. US ambassadors are well protected.
 
Back
Top Bottom