The Truth Inside Your Skull

Mkuu, ujanja umetumika kwa kutaka kuelezea nguvu za fuvu la kichwa kwa theology ya kishirikina zaidi lakini lengo likiwa kuhalalisha upagani na uchawi kwa ku-justfy kuwa idea ya kuzaliwa na hata kufa kwa yesu haina umungu ndani yake, bali ni idea iliyokuwa imeenea enzi hizo. wewe si mgeni kwenye hizi clue nimeshamsikiliza "zeitgeist" anatapika hoja kama hizi na nyingine nyingi tu.
hapa DUniani kuna mafundisho ya washirikina na wafuga majini na kuna mafundisho ya Mungu wa Kweli: Na ufalme wa Mungu umefanana na Mungu amepanda ngano katika shamba lake na akaja adui (shetani)akapanda magugu. watumishi wa Mungu wakashangaa mbona kuna magugu katika shamba la ngano.wakamuuliza Mungu je tukayangoe..? Mungu akawajibu la! huyo ni Adui yaacheni magugu na ngano siku ya Mavuno ndipo tutatenganisha ngano na magugu.

Kama hufahamu ujue tu..hao wa-Budha ni wachawi wanaotumia nguvu a giza kama walivyokuwapo wachawi wengine enzi za dark ages wakauwawa na utawala wa roma.. Kama unamezwa mafundisho ya wachawi we endelea tu, Ila ujue unafuatilia mafundisho ya washirikina na wafuga majini.
Yesu ni another level..yesu sio naga/padma/Shaman na sio Budha mpagani wala templars..

huyu ndio Baphomet
220px-Baphomet.png
UNAJUA ILI HOJA YAKO IKUBALIKE SIO KWAMBA ETI UTUTAJIE MAJINA YA VITABU ULIVYOSOMA NA WAANDISHI WAKE ILA LETA USHAHIDI KAMA ALIOULETA MTOA MADA ILI UELEWEKE .
 
Back
Top Bottom