The top five best couple in JF(MMU)

The top five best couple in JF(MMU)

Hahaaaa
Wewe tena ja, je , ji, jo na ju kuna silabi hapo znahusiana na wewe.

Sema kaka mi mtu wako wa nguvu leo nilikuwa napita pita tu kuchek mazingira ya jf
Umegusa penyewe bro ila sijakuonaga ukichangia, enewei mwenyewe atakuja mm ndio mond from Wcb
 

Nimewapandisha value, sasa jitahidi uwashushe wasije wakawa wanakuringia.
Keep em both ikiwezekana, mbona india wanaweza sana hayo mambo.
Next time i'l be careful with my jokes
No no no dont worry pse hii ni joke lke other jokes,xo ucjali bana,Ok nime accept ushauri wko sbr nijipange
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom