The top five best couple in JF(MMU)

The top five best couple in JF(MMU)


Nilikuwa na mjoke yule lover wenu

Sasa jamaa kanibana mpaka ikabidi nijieleze

Mi huwa napita kimya kimya lakin na note tuuu.

Nawaonaa nawaonaaaa!!!
Yule ni jike langu bwana federico anaibia tu.. akae mbali nisimtikisie tunguli
 
Ukipata nafasi hogonyoa kisawasawa ukinyang'anywa usije kutulilia.
Sisi wakongwe yetu macho tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom