tiari ushasema ni movie (maigizo) no realityyasemwayo yapo ingawa inafikirisha sana, yani jamaa ameenda future akakuta mwanae amekua mkubwa na anakufa kwenye mikono yake then anarudi tena alipokuwa kwenda kusahihisha makosa ili asije kufa tena huo mwaka ukifika?
Maana yake tunaweza kukimbia kifo hahaha yani naenda future naona kuwa nitakufaje then narudi kupangua sababu za kufa.
Basically: One of very interesting topic ambayo inakufanya uwaze dunia kwa marefu na mapana yake. Kwa uelewa wa juu juu tu mtu anaweza kuona kama ni Scientific-fiction fulani hivi ambayo haiwezekani lakini there is something behind juu ya ishu ya Time Travelling.Juzi nimeangaalia Movie mpya inayoitwa The Tomorrow War baada ya kuisha nikajikuta natafakari! Je! tayari wataalamu wa mambo wameshasafiri kwenda miaka 10-20 mbele wakarudi ni jibu juu ya kinachokuja huko mbeleni?View attachment 1852627View attachment 1852626
yasemwayo yapo ingawa inafikirisha sana, yani jamaa ameenda future akakuta mwanae amekua mkubwa na anakufa kwenye mikono yake then anarudi tena alipokuwa kwenda kusahihisha makosa ili asije kufa tena huo mwaka ukifika?
Maana yake tunaweza kukimbia kifo hahaha yani naenda future naona kuwa nitakufaje then narudi kupangua sababu za kufa.
Basically: One of very interesting topic ambayo inakufanya uwaze dunia kwa marefu na mapana yake. Kwa uelewa wa juu juu tu mtu anaweza kuona kama ni Scientific-fiction fulani hivi ambayo haiwezekani lakini there is something behind juu ya ishu ya Time Travelling.
Hii ishu nimeiona kwenye movie ya Mr.Peabody and Sherman ambayo walikuwa wanatumia Time Machine kwenda kwenye past mbalimbali mfano French Revolution ya mwaka 1789.
Ancient Egypt ( LAND OF THE PHARAOHS) -1332 B.C, na Florence, Italy home of Leonardo Da'vinci 1508 na sehemu nyingine lakini walikuwa na uwezo wa kurudi present kutokea Way Back kwa kutumia Time machine.
I know it's not easy our mind to digest that kind of issue (Time Travelling). But Let's use our Imagination power to evaluate this invisible issue.
Acha kutumia neno "mzungu"Tuseme tuu ukweli movie za time travel zimekua nying sana siku hizi mpk mimi nimeanza kupata hisia inawezekana hicho kitu kipo sabb mzungu atengeneze movie kutufurahisha tuuh
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Acha kutumia neno "mzungu"
Halafu hizo ni Sci-fi movies
Tunachanganya concept kadhaa za sayansi pamoja na fiction(kufikirika)
So sci-fi movies ni uongo ulio tiwa nakshi na concepts kadhaa za sayansi
Time travel ni jambo halisi kulingana na sayansi, lakini aina pekee ya time travel iliyoruhusiwa au inayowezekana ni Forward Time travel, tunaweza kinadharia na wala sio kivitendo (kwa sasa) kwenda mbele ya mda na sio nyuma ya mda
Kwenda mbele ya mda inawezekana, ila kurudi haiwezekani kwa sababu inatupa paradox nyingi...
Mfano hii, Grandfather paradox
Unarudi nyuma ya mda na kwa bahati mbaya una muua babu yako kabla hajamzaa baba yako,
Hivyo mama yako hawezi kutana na baba yako ambaye hajazaliwa baada ya wewe kumuua babu yako
Hivyo wewe hutozaliwa,
Kama huto zaliwa huwezi kurudi nyuma ya mda kumuua babu yako kwa sababu hujazaliwa
Kwa sababu huwezi rudi nyuma ya mda kumuua babu yako, hivyo babu yako ana mzaa baba yako ambaye anakutana na mama yako na kukuzaa wewe
Kisha unarudi nyuma ya mda na kumuua babu yako[emoji848]
Hio loop...
So sayansi na logic zina kataa
Kwa hio nikutoe hofu hicho kitu hakipo kwa sababu hakiwezekani
Ni kitu cha kifikirika kutoka Hollywood
Time travelling movie inayo ingia akilini ni Tenet tu
SijaelewaJuzi nimeangaalia Movie mpya inayoitwa The Tomorrow War baada ya kuisha nikajikuta natafakari! Je! tayari wataalamu wa mambo wameshasafiri kwenda miaka 10-20 mbele wakarudi ni jibu juu ya kinachokuja huko mbeleni?View attachment 1852627View attachment 1852626
Ni bonge la Movie mm pia nmeichek Ilivyotoka Tu ,Ni cospiracy Tu Sema They Imagine kwamba mpaka 2022 kutakuwa na Technologia yakuenda On future Kama Miri .Juzi nimeangaalia Movie mpya inayoitwa The Tomorrow War baada ya kuisha nikajikuta natafakari! Je! tayari wataalamu wa mambo wameshasafiri kwenda miaka 10-20 mbele wakarudi ni jibu juu ya kinachokuja huko mbeleni?View attachment 1852627View attachment 1852626
Kuna huyu Germain Tobar - profesa wa Fizikia kutoka Chuo Kikuu cha Queensland kule Australia. Yeye anadai kuwa makalikyulesheni yake yamemwonyesha kuwa hii Grandfather's Paradox inaweza kuepukwa kwa sababu muda una uwezo wa "kujiponya" wenyewe...Acha kutumia neno "mzungu"
Halafu hizo ni Sci-fi movies
Tunachanganya concept kadhaa za sayansi pamoja na fiction(kufikirika)
So sci-fi movies ni uongo ulio tiwa nakshi na concepts kadhaa za sayansi
Time travel ni jambo halisi kulingana na sayansi, lakini aina pekee ya time travel iliyoruhusiwa au inayowezekana ni Forward Time travel, tunaweza kinadharia na wala sio kivitendo (kwa sasa) kwenda mbele ya mda na sio nyuma ya mda
Kwenda mbele ya mda inawezekana, ila kurudi haiwezekani kwa sababu inatupa paradox nyingi...
Mfano hii, Grandfather paradox
Unarudi nyuma ya mda na kwa bahati mbaya una muua babu yako kabla hajamzaa baba yako,
Hivyo mama yako hawezi kutana na baba yako ambaye hajazaliwa baada ya wewe kumuua babu yako
Hivyo wewe hutozaliwa,
Kama huto zaliwa huwezi kurudi nyuma ya mda kumuua babu yako kwa sababu hujazaliwa
Kwa sababu huwezi rudi nyuma ya mda kumuua babu yako, hivyo babu yako ana mzaa baba yako ambaye anakutana na mama yako na kukuzaa wewe
Kisha unarudi nyuma ya mda na kumuua babu yako[emoji848]
Hio loop...
So sayansi na logic zina kataa
Kwa hio nikutoe hofu hicho kitu hakipo kwa sababu hakiwezekani
Ni kitu cha kifikirika kutoka Hollywood
Time travelling movie inayo ingia akilini ni Tenet tu
kuna alternative theories za ku solve grandfather paradoxKuna huyu Germain Tobar - profesa wa Fizikia kutoka Chuo Kikuu cha Queensland kule Australia. Yeye anadai kuwa makalikyulesheni yake yamemwonyesha kuwa hii Grandfather's Paradox inaweza kuepukwa kwa sababu muda una uwezo wa "kujiponya" wenyewe...
View attachment 1855420
Time travel paradox SOLVED: Physicist reveals time can heal itself
TIME TRAVEL can be achieved without any paradoxes, according to new research from a physicist who believes the world will not be permanently altered if one were to go back in time.www.google.com
Acha kutumia neno "mzungu"
Halafu hizo ni Sci-fi movies
Tunachanganya concept kadhaa za sayansi pamoja na fiction(kufikirika)
So sci-fi movies ni uongo ulio tiwa nakshi na concepts kadhaa za sayansi
Time travel ni jambo halisi kulingana na sayansi, lakini aina pekee ya time travel iliyoruhusiwa au inayowezekana ni Forward Time travel, tunaweza kinadharia na wala sio kivitendo (kwa sasa) kwenda mbele ya mda na sio nyuma ya mda
Kwenda mbele ya mda inawezekana, ila kurudi haiwezekani kwa sababu inatupa paradox nyingi...
Mfano hii, Grandfather paradox
Unarudi nyuma ya mda na kwa bahati mbaya una muua babu yako kabla hajamzaa baba yako,
Hivyo mama yako hawezi kutana na baba yako ambaye hajazaliwa baada ya wewe kumuua babu yako
Hivyo wewe hutozaliwa,
Kama huto zaliwa huwezi kurudi nyuma ya mda kumuua babu yako kwa sababu hujazaliwa
Kwa sababu huwezi rudi nyuma ya mda kumuua babu yako, hivyo babu yako ana mzaa baba yako ambaye anakutana na mama yako na kukuzaa wewe
Kisha unarudi nyuma ya mda na kumuua babu yako🤔
Hio loop...
So sayansi na logic zina kataa
Kwa hio nikutoe hofu hicho kitu hakipo kwa sababu hakiwezekani
Ni kitu cha kifikirika kutoka Hollywood
Time travelling movie inayo ingia akilini ni Tenet tu
Hapa nimekuelewa mkuu hata ukiangalia series ya Loki ndio maana halisi ya Many worlds interpretation inaeleweka.kuna alternative theories za ku solve grandfather paradox
Moja ni Consistency principle au Consistency History kama sikosei
Inasema historia nzima inabidi ikubalieni kuhusu tukio hilo, yaani kwa mfano Babu yako ameshawahi kukusimulia kuhusu kijana anayefanana na wewe aliyekutana nae Miaka mingi iliyopita hata Kabla haja mzaa baba yako
Kwa kushangazwa na hii hadithi ukaamua kutengeneza time machine ya kurudi nyuma ya mda ili kufahamu huyo Kijana Anayefanana na wewe ni nani
Unakutana na past version ya babu yako akiwa kijana.... Na kumbukumbu hii ana kaa nayo mpaka siku atakayokuja kukusimulia wewe
(wewe ni yule kijana aliyekutana nae), so historia Nzima inakubaliana bila paradox
Key premise kwenye hii theory ni kwamba, law of physics zitahakikisha ufanyi jambo lolote litakalo badili kabisa direction ya historia kwa mfano kumuua babu yako
Aidha risasi itamkosa au vipi... Chochote kile kitatokea kuzuia😁
Hii nadharia ilikataliwa na wanasayansi
Inayokubaliwa na wanasayansi ni Many worlds interpretation
Yaani kila tendo utakalofanya kubadili past litatengeneza instance au copy ya ulimwengu mwingine
kwa case ya grandfather paradox, kutakua na copy ya ulimwengu ambao wewe hautozaliwa baada ya kumuua babu yako
Sijasoma kuhusu huyo prof, ila na bet yake inacheza kwenye hio ya kwanza