The Threat Of Islamism In Sub-Saharan Africa: The Case of Tanzania – Analysis

Status
Not open for further replies.
Hakuna cha Mwenyezi Mungu wala Faizaaa wala nini, wewe huo uislam uliutoa wapi,[ Waafrika wazima bila aibu] mnataka kutuletea utamaduni wenu wa kiarabu unaojustify kujilipua na kuua wengine, Mungu gani anayewatuma mkaue wengine, huo ni ugaidi full stop, Siku hizi mnaadabishwa maana si hatuwalazimishi mufuate yetu, tunawachukulia kama wenzetu lakini nyie ni ubinafsi mwanzo mwisho, We accomodate you and treat you like brothers and sisters lakini sisi kwenu ni Makafir........pelekeni utumbo wenu hukoo.

Enzi za kabla ya ukoloni nani alikua anawaonea hadi mkawa mnapigana JIHAD na utumbo tumbo wenu. Dini halisi ya binadamu ni ubinadamu na UTU and let those who police the world civilize all you! Endeleeni tu kupunguz population yenu kwa kulipuana!

faizaaaa achana nao ukibishana na mjinga si na wewe wawa mjinga?? Nani aloanzisha vita ya udini??? Kuna muislamu hata mmoja au taifa la kiislamu liloenda nchi za magharibi kufanya fujo?? Ni hao wazungu walojifanya wanataka ku civilise uislamu wakifkiri mila zao ni bora kuliko zetu. Na katu hatutafata mila ambazo huhalalisha maovu na kukataza mema. Eeeh mwenyez mungu wasamehe manake hawajui watendalo
 
Utawakuta wanalalamika ooh,tulibaguliwa kwenye elimu,utafikiri historia ya Tanzania na ujio wa wakoloni wa Kiarabu na toka Western hawaijui?
Waache ubaguzi kwani ndio tatizo lao kubwa,mbona sisi tunaishi nao vizuri kama ndugu

Hata leo utakuta kuna baadhi ya wazazi wa kiiislamu wanapeleka watoto wao madrassa na kudharau elimu ya kawaida kwa madai eti kwenye quran kuna elimu dunia pia,sasa tukija kwenye ajira wanakodai pia wanabaguliwa wataajiriwa kwa kigezo cha kuran au hiyo wanayoita elimu dunia?
Niwahi sikia live spika ya msikiti fulani kimara ikitangaza "enyi watoto wa kiislamu,msisherehekee na hao makafri ila chakula kuleni"(ilikuwa sikukuu ya Pasaka this year).Sasa nikajiuliza,kula pamoja nao si ndio sehemu ya sherehe yenyewe.Yaani wanawafudisha watoto ubaguzi tangu wadongo.Honestyly I HATE THIS HABIT! But wapo wachache sana waelewa.
Manajijua kielimu mko nyuma(mlichelewa japo sasa wengine wameshashtuka) bado mnang'ang'ania kupeleka watoto wenu islamic schools ambazo hamuajiri makafri(ambao ni compitent),na matokeo ya shule hizo yanatisha siku zote halafu mnataka kujikomboa kielimu?????????!!!!

Badilikeni wenzetu,sisi sote ni ndugu na Mungu tunayemwabudu ni mmoja,kumbukeni hizi dini ni mapokeo tu,alipokaa mwarabu,uislamu ukaenea na alipokaa mmishionary,ukristu ukaenea.Mwarabu akafundisha Quran madrassa na Mmishionari akajenga shule na kutoa elimu dunia.

Apart from that wote tulikuwa na miungu yetu mbalimbali kama milimani,majabali,mitoni,mapangoni .n.k
 
revolutionary umewahi ona sehemu yoyote kwenye uislamu kulikoandikwa mtu akajilipue?? Dont talk nonsense. Miaka kabla ya 80 kulikua na vita kati ya ukapilist na usocialist then usocialist ukafall down. Now duniani kumebaki two ways of life,

njia ya kwanza ni ya ukapitalist isiyomjali mwanadamu inayosababisha exploitation na gape kati ya maskini na tajiri (nafkiri hata baba wa taifa mwalimu julius kambarage nyerere hakulipenda hili)

njia ya pili ya maisha ni uislamu. Mtume muhamad alikua ni great politician and economist tuna sheria zetu ambazo ifffff zikitumika it is the end of capitalist.

Mfano sheria ya kibenki ya kiisilamu watu wawili wakiwa wamediposit milion 50 kila mmoja then akaja mtu kukopa milioni 100, huyu mtu hatalipa riba ila faida atakayopata itakatwa kwa makubaliano na benk. Mfano faida inakatwa 50% na alipata faida milion 30 that mean alokopa atabaki na milion 15 na milion 15 nyengine yaenda kwa alodiposit na sio benk. U see sasa hapa wote wanafaidika tofauti na mfumo wa riba (benki kadhaa za ulaya zinatumia huu mfumo now kutokana na threat ya mtikisiko wa uchumi tena)

Angalieni hawa wa israel na wamarekani walivo, hawapendi kuona nchi ya kiislamu ikiendelea mfano iraq walisema ana silaha za maangamizi but wamepiga wakazikosa wakageuza reason wakasema alikua dikteta, wamepiga na afghanistan wamepiga libya kote huku. Angalia sasa ushaskia mtu wa oman qatar iran bahrain jordan anajitoa mhanga?? Wapo na peace hawawezi fanya hivo. Angalia somalia angalia iraq angalia afghanistan wanavojitoa mhanga cause ya uovu wa marekani na washirika

Je ndugu zangu mfikiri watoto wadogo wanaouliwa na marekani taifa la kesho hawana thamani? Bomu la merekani lililoua watoto 60 pakistani wakisema magaidi., watoto 400 wa libya waloambukizwa ukimwi na wale wazungu hawana thamani.

Revolutionary hata kama ni wewe kaka angu imagine 5 years ago ulikua happy na familly yako with smiles but ghafla wanakuja wavamizi wanaua wanao mkeo babako na mamako utafeel vipi? wale wanaojitoa mhanga si sababu ya dini its all pains mtu hana cha kupoteza

Think twice bro mkwawa alivokatwa kichwa na kupelekwa ujerumani mamia walokufa vita ya majimaji, alichofanya uingereza kenya na uganda neo colonialism ya marekani. Wote hawa wanatuachia effect ambazo hazizibiki. Tunabaki maskini miaka na miaka wao wanatajirika.

Issue ya warabu before ukoloni its true walikuepo but walikua wakitumwa na uingereza kufanya trade ya slave, its not true kwamba wamepelekwa arabuni na ndo mana hakuna movements yoyote ya black ilotokea arabuni kama ilivotokea marekani.

Mtume alikomesha biashara ya utumwa arabuni karne ya 7 after that haikuruhusiwa kufanyika ndani ya majimbo ya kiisilamu.
 
Another deluded Muhammedan.
 
Nafikiri tuanze kubadilika sisi kwanza,sisi wote ni wa1,kabla hatujafika huko marekani na kwingineko tufanye yaliyo ndani ya uwezo wetu.Je ni sahii kumjenga mtoto wa kiislamu kuwachukia na kuwatenga watoto wenzie wa kikristo kwasababu huko Iraq kuna wamarekani wamewaua waislamu?

Otherwise,"TUPENDANE JAMANI,TUSIJENGE CHUKI KATI YETU HAIPENDEZI"
 
bora wewe una mawazo ya kikubwa na hata kwenye uislamu haturusiwi kumchukia asie mwislamu mpaka pale tu atakapoonesha nia ya kuidhuru dini ya allah(sw)
 
bora wewe una mawazo ya kikubwa na hata kwenye uislamu haturusiwi kumchukia asie mwislamu mpaka pale tu atakapoonesha nia ya kuidhuru dini ya allah(sw)

Kwa mimi anaye/atakayeidhuru dini yangu,atanikwaza,nitaudhika BUT nitamwomba Muumba ampe uelewa na imani,zaidi sana aniache niabudu ninachokiamini kwa amani kama ambavyo sitambugudhi yeye.
 
Kazi mnayo, tukimaliza uvumbuzi wa maisha, tutawahamishia sayari ya Mars, mkalipuane wenyewe!

Nguchiro akili kuambiwa! teh teh teh teh!

nyie ndio wale mnaokwenda kanisani asubuhi ya jumapili,
mkifika hapo mnaambiwa;
fungueni wakolosai 2 4!
mnafungua!
mnaambiwa "haya someni"
mkasoma!
halafu mnaambiwa "fungeni kitabu"
mkafunga
mnaambiwa "haya fungeni macho tuombe"
Halafu mchungwaji anawaambia "nendeni kwa amani MMESAMEHEWA MADHAMBI YENU YOOTE"

mkitoka hapo mmeskia raaaaaha! halafu mnaambizana nje ya kanisa kuwa "aiseee leo mchungwaji katoa kali kweli!! huyo sio mchezo!

Halafu mnarudi nyumbani kwa waume zenu mkijisifia kuwa madhambi yooote kayachukua yesu!

teh teh teh teh! ugalatia ni kaaz kweli kweli!
 
Wazee wa dini za kimapokeo na mnyukano njooni huku kwetu tuwageuze misikule faiza,revolutionist etal!
 
Islam has proved to the world that it is the only cult that underdevelop the world. It sad to have such muham-madic cult on the planet earth.

Teh teh teh!

HALELUUUUYAH!
THE MUCHUNGWAJI HAS BEEN RESURRECTED! !

I THOUGHT YOUR DEAD MAN!

Daaamn! What took you soo long!

I guess the whole thing of resurrection was not going according to plan! Innit??

Never mind! You are here now!

You know what they say hey!
Hell happen!!

Teh teh teh teh!
 
kahtaan huachi yuko wapi MaxShimba

Hio ni post yake ya tangia 2011.

Jamaa nafkiri ka dead kweli
 
Last edited by a moderator:
kahtaan huachi yuko wapi MaxShimba

Hio ni post yake ya tangia 2011.

Jamaa nafkiri ka dead kweli

Thats very sad! Manake huyu kimburu kipindi cha nyuma alikuwa anajifanya mbabe sana!
Alijisifu kuwa pale Newyork ana ministry
Mi na jamaa zangu tumekaa pale wiki nzima kikazi.

Hakuna cha ministry wala ministra!
Jamaa tapeli vibaya! Hata kwenye mitandao ya huku hayumo!!
Lkn wabongo wengi walidhani jamaa ni mkweli!
Teh teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom