Kinachonifurahisha kwenye hii hoteli ni kwamba ilifunguliwa 1999 lakini mpaka leo ipo kwenye chati sana,nilikwenda siku moja kufanya training nikaona kinywaji Chateau Petrus ya mwaka 1982(you can google) inauzwa $6500 na watu wanakunywa !!hapo pichani juu unaona kitu kama ungo sio ungo ni Helipad (kiwanja kwa ajiri ya helicopter )watu wenye pesa uwa wanatua na helicopter juu kisha wanaingia chumbani,mpaka leo bado ipo kwenye top 3 most expensive hotels in Uae.Wakati inajengwa wakiwa wameweka msingi ulisombwa na maji lakini sasa wameweka vifaa maalumu ambavyo vinameza mawimbi !!!siku hizi asilimia kubwa ya wageni pale ni Wanigeria hivyo ukiwa ni black na ukapita hapo getini wafanyakazi watakupa heshima sana..Machangudoa wanakwenda kujiuza hapo wakiendesha Ferrari! !!!Dubai.....