The story behind PANADOL

Jamani hakuna dawa ambayo ni 100% safe to ALL people!! Kumbuka dawa yoyoyte ni chemical. Different drugs are harmful to different people. Mgonjwa anapopewa dawa yoyote ile ni kwamba mtoaji (Dr) ameona kuwa benefits ni zaidi harm.

Paracetamol is among the safest anti-pain and anti-fever. It may be toxic to the liver in some people but not to the kidneys!!

Hao walioelezwa kwenye post hii kuwa wanaumwa wanachoumwa kwa sababu ya panadol kumefanyika uchunguzi gani kuthibitisaha haya? Je haiwezekani kuwa wanaumwa kwa sababu zinginezo zisizo na uhusiano na panadol??

Tusiwe wepesi wa kulaumu
 

Nimejaribu kujibu nielewavyo mimi kwenye bluu, ila mwisho wa yote jaribu kujifikirisha kidogo na kufanya homework zetu kabla hatuja'kopi na ku'pest humu!
 
Unknowingly i have always been avoiding 'pain killers' believing that most headaches are a syptom of either overworking the brain thus forcing an increased blood flow around the brain and in turn causing abnormal tension the blood vessels. Most of the time these pains are an indication of something wrong with the 'system' and most of us instead of looking into reasons as why you have a headache we suppress the pain by taking pain killers resulting in eventual stroke or something similar in the end casues sudden death.
 
itabidi kuhamia kwa mitishamba tu na maji mengi ya kunywa maana inatisha sasa kila dawa haifaii..
Kusema Ukweli kichwa kuuma au maumivu ya kichwa, ni ISHARA tu za mwili kukuambia kuwa unapungukiwa maji na inakubidi unywe tu glasi 1 mara 8 kwa siku mara nane tofauti asubuhi mpaka unapoenda kulala. Kwa ufupi maumivu yoyote yanayoanzia mwilini (yaani hayatokani na ajali) ni ishara pia usawa wa asidi mwilini umeuzidi usawa wa alkalini.

Nimepost hapa ishara zingine za mwili kuhitaji maji, funguwa: https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/305828-ishara-za-mwili-kupungukiwa-maji.html
 
Mimi nakushukuru kwa kuniokoa na yanayoweza kusababishwa na utumiaji wa hizo painkiller kwakuwa ckuwa na ufahamu wowote juu ya hilo.
 

i appreciate mkuu. Ubarikiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…