The story behind PANADOL

Read me

Member
Jan 10, 2011
35
4
Hi!

Wataalamu wa JF, nimesikia kuwa eti mtu ukinywa Panadol au paracetamol muda mfupi baada ya kunywa kinywaji cha coca-cola kuna madhara.

Naomba wanaojua wanijuze ni madhara gani hayo na kwanini!?
Somebody was working in a hospital as an IT engineer, as the hospital is planning to set up a database of its patients and he knows some of the doctors quite well. The doctors used to tell him that whenever they have a headache, they are not willing to take PANADOL / PARACETAMOL.

In fact, they will turn Herbal Medicine or find other alternatives. This is because Panadol is toxic to the body, and it harms the liver. According to the doctor, Panadol will remain in the body for at least 5 years.

And according to the doctor, there was an air-hostess who consumed lots of Panadol as she needed to stand all the time and work under lots of pressure. She's now in her early 30's, and she is undergoing kidney cleaning (DIALYSIS) every month.
Whenever we have a headache, that's because it is due to the electron / Ion imbalance in the brain.

Some alternative solution to cope with this matter is Drink lots of water.

Another method will be to submerge your feet in a basin of warm water so that it brings the blood pressure down from your throbbing head.

As Panadol is a pain killer, the more Panadol you take, the lesser would be your threshold for pain (your endurance level for pain). We all will fall ill as we age.

Imagine that we had spent our entire life popping quite a substantial amount of Panadol (Pain Killer), when you need to have a surgery or operation, you will need a much more amount of general anesthesia.

If you have a very high intake of Panadol throughout your life
(Migraine, Menstrual cramps ) it is very likely that normal general anesthetics will have no effects on you as your body is pumped / full with Panadol and your body is so used to pain killer that you would need a much stronger pain killer, Morphine????

The thought is scary enough to turn me to Herbal Medicine or other healthier alternative. Value your health, value your life, THINK TWICE before you easily pop that familiar pill into your mouth again.

Please don't take PANADOL always and try send this to people you care about
 
Kama yapo basi mimi nitakuwa nimeathirika sana japo sioni dalili maana mara nyingi sana nimekuwa nikimeza panadol kwa kutumia cocacola.
 
Ila mie nimeskiajana tu eti ukichemsha cocacola na ikishachemka unaweka na panadol, unakunywa inaponyesha mafua. Ila mie sijajaribu, huyo mtu aliyenielezea alisema amekuwa akitumia huo mchanganyo. Na akimeza tu jioni kesho yake anakuwa mzima.
 
Aiseeeee!!!!!!! Hapo za kwako..........changanya na za mwenzio.......!!!!!!

Ila mie nimeskiajana tu eti ukichemsha cocacola na ikishachemka unaweka na panadol, unakunywa inaponyesha mafua. Ila mie sijajaribu, huyo mtu aliyenielezea alisema amekuwa akitumia huo mchanganyo. Na akimeza tu jioni kesho yake anakuwa mzima.
 
Nguchu (paf) moja ya coke inatosha kunywea panadol, na haina madhara maana imechanganyika na mate.

Ila usijaribu kubugia coke na panadol, utaanza kusinzia hapo hapo.

jaribu kunywa coke glass nzima na panadol hapo hapo. tafadhali uwe karibu na kitanda nyumbani.
 
Unaweza kulala moja kwa moja!
 
Ila mie nimeskiajana tu eti ukichemsha cocacola na ikishachemka unaweka na panadol, unakunywa inaponyesha mafua. Ila mie sijajaribu, huyo mtu aliyenielezea alisema amekuwa akitumia huo mchanganyo. Na akimeza tu jioni kesho yake anakuwa mzima.

Duuuuh!
Haya maubunifu hata watengenezaji wa hiyo coca na panadol lazima wabaki vinywa wazi....sasa huo mchanganyiko ndio inakua Kikombe cha Babu au???
Haya tusubirie mauvumbuzi mengine chumvi na sprite inaponya chunusi maana wa Bongo kwa ubunifu sijui hata Mkemea Mkuu anazo hizo formula.
 
Coca-Cola + Mbege = Serengeti Baridi
Coca-Cola + Rubisi = Safari Lager
Coca-Cola + Ulanzi = Castle Lager
Coca-Cola + Mnazi = Konyagi

e.t.c

Hivi inawezekanaje unameza dawa kwa kutumia kimiminika kingine zaidi ya maji safi na salama? Insane!!
 
mimi nimesikia ukiweka jino lilale ndani ya chupa ya cocacola kisha uizibe kwa kifuniko chake, asubuhi yake hukuti jino linakuwa limeyeyuka, kweli waungwana?
 
Nimewahi kusikia eti kama mtu anakunywa kinywani cha coca cola alafu ukamix robo ya kidonge cha panadol yule anayekunywa atalewa unaweza kumfanya kitu chochote
 
Mimi nina mazoea ambayo nimeshindwa kuyaacha,napendelea sana kupunguza kidogo coca-cola ktk chupa halafu najazia na satchet au kiroba cha konyagi, hivi hii nayo ina madhara gani?
 
Hi! wataalamu wa jf, nimesikia kuwa eti mtu ukinywa Panadol au paracetamol muda mfupi baada ya kunywa kinywaji cha coca-cola kuna madhara.
Naomba wanaojua wanijuze ni madhara gani hayo na kwanin!

Paracetamol is acetaminophen,Coca-cola has no interaction with acetaminophen. But if you take so many pills(Panadol/Paracetamol) you have I chance of demaging your liver even if your using water.
 
hahahaha...umenifurahisha sana kwenye red...
Nguchu (paf) moja ya coke inatosha kunywea panadol, na haina madhara maana imechanganyika na mate.

Ila usijaribu kubugia coke na panadol, utaanza kusinzia hapo hapo.

jaribu kunywa coke glass nzima na panadol hapo hapo. tafadhali uwe karibu na kitanda nyumbani.
 
mi nimesikia coca cola ukuchanganya na mwarobaini.... then ukiulaza ni dawa ya tumbo... ukiuchanganya na magadi kikombe kimoja ni dawa ya mwasho wa ngozi........ ila sijajaribu
 
Somebody was working in a hospital as an IT engineer, as the hospital is planning to set up a database of its patients and he knows some of the doctors quite well. The doctors used to tell him that whenever they have a headache, they are not willing to take PANADOL / PARACETAMOL.

In fact, they will turn Herbal Medicine or find other alternatives. This is because Panadol is toxic to the body, and it harms the liver. According to the doctor, Panadol will remain in the body for at least 5 years.

And according to the doctor, there was an air-hostess who consumed lots of Panadol as she needed to stand all the time and work under lots of pressure. She's now in her early 30's, and she is undergoing kidney cleaning (DIALYSIS) every month.
Whenever we have a headache, that's because it is due to the electron / Ion imbalance in the brain.

Some alternative solution to cope with this matter is Drink lots of water.

Another method will be to submerge your feet in a basin of warm water so that it brings the blood pressure down from your throbbing head.

As Panadol is a pain killer, the more Panadol you take, the lesser would be your threshold for pain (your endurance level for pain). We all will fall ill as we age.

Imagine that we had spent our entire life popping quite a substantial amount of Panadol (Pain Killer), when you need to have a surgery or operation, you will need a much more amount of general anesthesia.

If you have a very high intake of Panadol throughout your life
(Migraine, Menstrual cramps ) it is very likely that normal general anesthetics will have no effects on you as your body is pumped / full with Panadol and your body is so used to pain killer that you would need a much stronger pain killer, Morphine????

The thought is scary enough to turn me to Herbal Medicine or other healthier alternative. Value your health, value your life, THINK TWICE before you easily pop that familiar pill into your mouth again.
.

Back
Top Bottom