The secretary........

ha ha ha.

Wamependeza hawajapendeza

wamependezaaaaa

bishanga amependeza hajapendeza
kapendezaaaaaaaaa


The Secretary amependeza hajapendeza
kapendezeaaaaaaaaaaa

basi walishane keki za ulimi





(ulimi wa ng'ombe)

hivi wale ng'ombe wako wenye degedege wapo?
 
The Secretary,umeshindaje love?
 
bora upunguze hicho kitambi cha sinza kinacholetwa na kitimoto na biya.

Mikono na miguu myembaba afu una kitambi juu ya kifua?? Khah.

mwambie nshapungua kilo tano kwa kusubiri jibu.
 
bora upunguze hicho kitambi cha sinza kinacholetwa na kitimoto na biya.

Mikono na miguu myembaba afu una kitambi juu ya kifua?? Khah.
The Secretary hakuna kitu anapenda kama kukipaka kitambi mafuta na kukimasaji.
 
bora upunguze hicho kitambi cha sinza kinacholetwa na kitimoto na biya.

Mikono na miguu myembaba afu una kitambi juu ya kifua?? Khah.

kitambi cha mchuzi huyu lodirofa sio hendisamu wala nini anafanana na MAPUNG'o
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…