The secret behind the number 11

The secret behind the number 11

Hii mbona ipo jukwaa la utani!! Na hakuna ukweli kama nziriye alivyoonyesha hapo juu.
 
Kifupi hakuna siri yoyote ya hiyo namba labda kwa wataalamu wa nyota.
 
@washawasha,hakuna kitu chochote imetokea tu,ku-prove wrong about 111 ,let assume kama mtoto amezaliwa mwaka 2000 then mwaka huu anatimiza miaka 11 then herufi mbili za mwisho jumlisha miaka atakayotimiza i.e 00+11=11 hapo utasemaje?

Mshikaji amelenga wanaojimwaga katika JF. :embarrassed:
 
kwa kawaida ilm ya namba (Numerology) kila namba inayo siri yake kutegemea unatafuta jibu gani?
Hapo hakuna siri iwapo hakuna jambo utalotafutia jibu.
Ispokua wataalam wa namba ni watafiti kweli kweli(wavumbuzi).
 
Chukua mwaka uliozaliwa jumlisha na umri utakaotimiza mwaka huu wa 2011 na jibu lake ni 111,mfano 80+31=111,81+30=111 je?kuna siri gani ya 111?
Kawaida ya ilm ya namba kuna makundi mawili.
(i) Root number 1-9
(ii) Compound Number 10-hadi ujuavyo trilion etc.
Hapo ulipofanya 80+31=111 bado hujawa sahihi kwa mujibu wa #2
Ona 80 8+0=8
31 3+1=4
8+4=12 ....12 1+2=3 hapa ndio mwisho wa hisabu yako.
Umegundua tafauti. 111 1+1+1=3.
Ahsante nimechangia japo kiduchu!.
 
@maalim,akhsante mkuu...naona unamwaga ilmu ya nyota,thank you yakheee
 
@mzeelapa,okey nimekumanya kumbe ni kwa ma-great thinkerz ,duh poah
 
this is typical coincidence of thoughts....call it thought parity
 
@lat,bt how such coincedence happen in this very year,it may be true bt maalim duh kanikuna ,anyways lat big uup gal
 
@lat,bt how such coincedence happen in this very year,it may be true bt maalim duh kanikuna ,anyways lat big uup gal

nziriye..... asante sana lakini... gal ....nitake radhi, lol !
 
nimekubali kiongozi,kwasababu kuna Washawasha fulani kashaanza kudanganya wa2 kwa kutumia 111
@washawasha,hakuna kitu chochote imetokea tu,ku-prove wrong about 111 ,let assume kama mtoto amezaliwa mwaka 2000 then mwaka huu anatimiza miaka 11 then herufi mbili za mwisho jumlisha miaka atakayotimiza i.e 00+11=11 hapo utasemaje?
 
Mkuu mwaga upupu kuhusu siri ya kila namba nasi tusiojua tupatejua
kwa kawaida ilm ya namba (Numerology) kila namba inayo siri yake kutegemea unatafuta jibu gani?
Hapo hakuna siri iwapo hakuna jambo utalotafutia jibu.
Ispokua wataalam wa namba ni watafiti kweli kweli(wavumbuzi).
 
Kawaida ya ilm ya namba kuna makundi mawili.
(i) Root number 1-9
(ii) Compound Number 10-hadi ujuavyo trilion etc.
Hapo ulipofanya 80+31=111 bado hujawa sahihi kwa mujibu wa #2
Ona 80 8+0=8
31 3+1=4
8+4=12 ....12 1+2=3 hapa ndio mwisho wa hisabu yako.
Umegundua tafauti. 111 1+1+1=3.
Ahsante nimechangia japo kiduchu!.
Ahsante Maalim Jumar.
Kuna wakti nlikuuliza humu humu JF ningependa kuwasiliana nawe!
Ulinijibu nashukuru nataraji kuja huko Tz tutawasiliana Mzee wangu.Have a good Time.
 
@lat,am so soory wajameni,nipo chini ya miguu man
 
jamani,, this is true, mimi nimefanya kwenye compyuta yangu hiyo ya ms word imekuja a sign ya majengo mawili na ndege ikielekea kwenye hayo majengo... Ts true. Really true
 
Back
Top Bottom