The secret behind the number 11

halaf wanamsingizia osama kwamba he is behind september 11, wakati ilishapangwa miaka kibao iliyopita
 
That is the work of freemason, and G Bush is a freemason! for Freemasons 11 mean blood sacrifise!
 
..........................................this getsmore interesting:
1) New York is the 11th state.
2) The first plane crashing against the Twin Towers was flight number 11.
3) Flight 11 was carrying 92 passengers. 9 + 2 = 11
4) Flight 77 which also hit Twin Towers , was carrying 65passengers. 6+5 = 11
5) The tragedy was on September 11, or 9/11 as it is now known. 9 + 1+ 1 =11
6) The date is equal to the US emergency services telephone number 911.
9 + 1 + 1 = 11

Sheer coincidence...?! Read on and make up your own mind:
1) The total number of victims inside all the hi-jacked planes was 254

2 + 5 + 4 = 11. .....................................................................

How comes number of victims inside of both hijacked planes was 254 while one plane had 92 passangers and the second one had 62 passangers, the numbers does not click in my mind
 
Inashangaza jinsi watu wanavoamini uongo huu pasipo kuelewa maana yake nini. Huu ni mchezo wa kutaka kuhalalisha kitabu kinachotangazwa kwa mapanga, mabomu na watu kujilipua lakini hakini utabiri wowote wa kinabii kama kitabu cha zamani cha historia na utukufu cha Biblia.
Hapa ndipo watu wa jangwani wanaposhangaza wako radhi kusema au kutunga uongo ii mradi dini yao ionekane ya maana.
These are coincidences and fabricated lies to legitimize coincidences.
 
Freemasons oyeee!!!! Pumbaf :playball:mtawakamata wapuuzi tu wasiojua ile kweli :A S-fire1:!!!!!
 
This we will experience for unusual dates...1/1/11, 1/11/11, 11/1/11, 11/11/11...Now go figure this out...take the last 2 digits of the year you were born plus the age you will be on your birthday this year and it WILL EQUAL TO 111...what's up with this 111
 
Hee!
Kweli. Mmmh! Isije kuwa mimi na wewe tumezaliwa mwaka mmoja.
Ngoja tuone wengine.
 
'For it is written that a son of Arabia would awaken a fearsome Eagle. The wrath of the Eagle would be felt throughout the lands of Allah while some of the people trembled in despair still more rejoiced: for the wrath of the Eagle cleansed the lands of Allah and there was peace.'
That verse is number9.11 of the Quran..

Mfamaji usipotoshe watu na habari zako za kufikirika(?) Qur'an 9:11 haizungumzii hayo uliyoyaweka hapo, usikopi na kupesti bila ya kufanya utafiti wako kwanza.

Qur'an 9:11 kwa tafsiri za mashekh wanne tofauti ni kama ifuatavyo: -

Abdul Daryabadi : If they repent and establish prayer and give the poor-rate, then they are your brethren-in-faith. And we detail the revelations unto a people who know.

Dr. Mohsin : But if they repent, perform As-Salât (Iqâmat-as-Salât) and give Zakât, then they are your brethren in religion. (In this way) We explain the Ayât (proofs, evidences, verses, lessons, signs, revelations, etc.) in detail for a people who know.

Pickthal : But if they repent and establish worship and pay the poor-due, then are they your brethren in religion. We detail Our revelations for a people who have knowledge.

Yusuf Ali : But (even so) if they repent, establish regular prayers, and practise regular charity― they are your brethren in Faith: (thus) do We explain signs in detail, for those who understand.


Hata kama ulikosea labda tuseme ulikusudia Qur'an 11:9; bado nayo haina maneno uliyaweka hapo.
Qur'an 11:9 kwa tafsiri ya mashekh wanne ni km hivi: -


Abdul Daryabadi : And if We let man taste mercy from us, and thereafter withdraw it from him, verily he is despairing, blaspheming.

Dr. Mohsin : And if We give man a taste of Mercy from Us, and then withdraw it from him, verily! he is despairing, ungrateful.

Pickthal : And if we cause man to taste some mercy from Us and afterward withdraw it from him, Lo! he is despairing, thankless.

Yusuf Ali : If We give man a taste of mercy from Ourselves, and then withdraw it from him, behold! he is in despair and (falls into) blasphemy.
 
Ni kweli, inashangazakidogo, nimejaribu kwa mtoto aliyezaliwa 2000 theory imegoma, au inaaplai kwa vijeba tu?


Amani yetu inatumiwa vibaya.
 
Ni kweli, inashangazakidogo, nimejaribu kwa mtoto aliyezaliwa 2000 theory imegoma, au inaaplai kwa vijeba tu?


Amani yetu inatumiwa vibaya.

kama amezaliwa 2000 ina maana ana miaka 11. Still kuna moja moja hapo.
 
Kiiza, it works mzee!! Kuna ka Uyahaya mle au vipi mzee??
Kwanini umewaza hivyo??

Yes Indeed!

Hee!
Kweli. Mmmh! Isije kuwa mimi na wewe tumezaliwa mwaka mmoja.
Ngoja tuone wengine.
Wewe ujui tumezaliwa siku moja sasa ndo inadhihirisha tutafutane nikupe siri ya mafanikio!!

Ni kweli, inashangazakidogo, nimejaribu kwa mtoto aliyezaliwa 2000 theory imegoma, au inaaplai kwa vijeba tu?


Amani yetu inatumiwa vibaya.
Kamuzu cheki vizuri!!
 
Inashangaza jinsi watu wanavoamini uongo huu pasipo kuelewa maana yake nini. Huu ni mchezo wa kutaka kuhalalisha kitabu kinachotangazwa kwa mapanga, mabomu na watu kujilipua lakini hakini utabiri wowote wa kinabii kama kitabu cha zamani cha historia na utukufu cha Biblia.
Hapa ndipo watu wa jangwani wanaposhangaza wako radhi kusema au kutunga uongo ii mradi dini yao ionekane ya maana.
These are coincidences and fabricated lies to legitimize coincidences.

MUONGO WA WAONGO NI huyu ambaye ametuletea magugu mengi
gonga hapa

https://www.jamiiforums.com/dini-imani/104083-paulo-na-uzushi-wa-dini.html
 
Kakakiiza, nimefanya kama ulivyoelekeza yaani 20 00 +11 =11 na si 111 kama ulivyosema, na ndipo nikashindwa kuinunua!

Amani yetu inatumiwa vibaya.
 
Back
Top Bottom